kashinje juma
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 706
- 543
Ni mchezo wa kuigiza na maigizo.Labda ulizaliwa jana. Wewe tulia hapo hapo, shughulika na mambo mengine. Kenya huwezi ielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchezo wa kuigiza na maigizo.Labda ulizaliwa jana. Wewe tulia hapo hapo, shughulika na mambo mengine. Kenya huwezi ielewa.
Kweli, Miguna ameingizwa kwenye KLM feki, kisha ikatua jangwani kule Garissa afu akarudishwa korokoroni. Heko kwa kung'amua hayo.Ni mchezo wa kuigiza na maigizo.
Ok,lkn kw nn Raila asingekamtwa cku hiyo hiyo!?lkn pia kw nn serikali isingezuia hayo yoote.km ilikuwa inajua kbs kuwa kuna siraha na zimetokea wp kw kz hii!! Kw nn raila aruhusiwe mpk aanze kujiapisha na mpk amalize na mpk atoroke!!Kiongoz ukitaka uwe jasiri ni lazima uushinde uoga.Asikudanganye mtu kwamba haya yote ni kwasababu ya kuapishwa kwa Raila tu. Kuna mengi yanaendelea kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea. Inasemekana kwamba hiyo siku ya kuapishwa kwa Raila kuna vijana wengi ambao walisafirishwa kuja Nairobi. Hawa vijana walikuwa wamekabithiwa bunduki na silaha kali kali ili wazitumie kukabiliana na polisi. Ngoma bado, utajoinea mengi tu hivi karibuni!
Sikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Atoroke wapi, yupo hapo hapo Kenya, tena Nairobi bila shaka.Ok,lkn kw nn Raila asingekamtwa cku hiyo hiyo!?lkn pia kw nn serikali isingezuia hayo yoote.km ilikuwa inajua kbs kuwa kuna siraha na zimetokea wp kw kz hii!! Kw nn raila aruhusiwe mpk aanze kujiapisha na mpk amalize na mpk atoroke!!Kiongoz ukitaka uwe jasiri ni lazima uushinde uoga.
Ni abrakadabra na mazingaombwe. Mwizi ametangaza kuwa atakuja kuiba.na kweli anakuja kuiba na unamwona anavunja nyumba.mpk anaiba na kuondoka,halafu unaaza kuhangaika kumtafuta.ni ujuha.kama miguna karudishwa kwao canada je Odinga atapelekwa wapi?
akina mkapa na wenzake.MAFISADI wa CCM ni akina nani? na wanamshinda kivipi?
Mmoja mmoja kwa zamuSasa mbona HUYO ALIYEAPISHWA HACHUKULIWI HATUA.?
Wangeanza na muhusika mkuu.Mmoja mmoja kwa zamu
kwao ni kenya by birth...amezaliwa kenyakama miguna karudishwa kwao canada je Odinga atapelekwa wapi?
Muusika wakianza naye watu wataresist, alafu atakuwa na watu wenye wa kumuunga mkono, ngoja waondolewe kwanza viongozi wanaomuunga mkono abaki ye mwenyewe akamatwe kama kondoo aliyenyeshewa mvuaWangeanza na muhusika mkuu.
hata canada ni kwao by registrationkwao ni kenya by birth...amezaliwa kenya
basi usiseme amerudishwa kwao,tafuta neno lingine kwa hiko unachotaka kukimaanisha....hata canada ni kwao by registration
AiseeAsikudanganye mtu kwamba haya yote ni kwasababu ya kuapishwa kwa Raila tu. Kuna mengi yanaendelea kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea. Inasemekana kwamba hiyo siku ya kuapishwa kwa Raila kuna vijana wengi ambao walisafirishwa kuja Nairobi. Hawa vijana walikuwa wamekabithiwa bunduki na silaha kali kali ili wazitumie kukabiliana na polisi. Ngoma bado, utajoinea mengi tu hivi karibuni!
akina mkapa na wenzake.
Is dual citizenship a new deterrence to political activism in Africa?
I know, Canada did intervene on behalf of their citizen Miguna Miguna, hence his deportation but this makes me wonder.
Can this precedence give African leaders another arrow in their quiver to deal with some "obnoxious" opposition firebrands?
Time will tell.