Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Aliwezaje kugombea ugavana wa Nairobi wakati yeye ni Mcanada? Au katiba ya Kenya inaruhusu?
Mzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.
 
Ni kweli
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini na kusimamia haki!
Saaafi kbs.eti baba wa democrasia!!!??? Uoga nao uitwe democrasia.huwezi kuitwa rais mwenye mamlaka na ukawa mwoga.waajinga watakuita baba wa democrasia.kumbe ni MWOGA NA DHAIFU.
 
Persona non grata! Kilatini hiki rafiki yangu nilifanya ‘O’ level yake na nilipata credit!!
Ungekuwa hatari saana kama ungesoma sheria ungekuwa unateleza tuu. Hata PLO LUMUMBA hujichukulia ujiko mkubwa kwenye mada zake hasa mahakamani anapochanganya maneno haya ya kilatini na kuonekana ni mtu mwente msamiati mzito sana wa kizungu kumbe ni maneno ya kisheria ya kilatini.
 
Sasa mbona HUYO ALIYEAPISHWA HACHUKULIWI HATUA.?
Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.

Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
Waziri imesahau marais wawili wa watu. His Excellency Honourable Tundu Lissu na His Excellency Honourable Maalim Seif. Mungu wazidishie afya.
 
Waziri imesahau marais wawili wa watu. His Excellency Honourable Tundu Lissu na His Excellency Honourable Maalim Seif. Mungu wazidishie afya.
Hamna hicho kitu
Nawe unafahamu ndugu Yangu
Au ndiyo kufuraisha baraza?
 
Mzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.
Hahahaha wewe
 
Ukishamwona Mwafrika ana uraia wa nchi mbili ni wa kuchunga sana ni hatari kwa usalama wa nchi maana anatumiwa na kikinuka tuu katereza kawaacha mnakufa. Hana uzalendo na afukuzwe kabisa atuache sisi na afrika yetu matatizo yetu madogomadogo tunayamaliza wenyewe
 
Sikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .
Sio mwoga mwenzako ameponea kwenye tundu la sindano kwenye ICC sasa afanye tena ujinga wewe vipi
 
quote of day: The despots have put me in a flight to Amsterdam enroute to Toronto, departure time right now. General Miguna Miguna NRM.
 
Under Article 16 of the Constitution, a Kenyan by birth even if dual Citizen, can never lose his citizenship... Under Article 17, a foreigner who acquired Kenyan citizenship can lose it ... Miguna’s deportation violates our Constitution..
 
Wakenya wametunga katiba soft sana ktk kipindi ambacho bado hawajafikia USTAARABU NA UTAYARI WA KUITEKELEZA.

Ni katiba yenye mwanzo usio na mwisho. Suppose MIGUNA MIGUNA asingekuwa na DUAL CITIZENSHIP wangemfanya nn?

Wamesema wanafanya uchunguzi wa UHAINI na Miguna ni mmoja wa watuhumiwa muhimu unapomuondoa nchini. Ni vipi utaendesha mashtaka dhidi ya Raila, Musyoka na wengine.

Naamini kumfukuza Miguna ambae ni mzaliwa wa Kenya ni kinyume na katiba yao ivo NASA lazima wataanzisha kesi nyingine ya KIKATIBA.
 
Bye bye Miguna Miguna! Huu mchezo haunaga huruma asee! Alisimama mbele ya wanahabari huku akikenuakenua na akiwa amejawa na kiburi. Akatangaza laivu kwamba yeye ndo jenerali wa kikundi kilichoharamishwa cha NRM. Hakuachia hapo, kisha akawaambia wadhubutu kumtia mbaroni. Alitumia maneno haya kukejeli vyombo vya usalama; 'Come baby come'! Sasa ona. Acha arudi kwao tu, maanake hamna namna!
Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.
 
Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Sasa mbona huyo muhaini mkuu hamumkamati kama kweli kujiapisha ni uhaini?, nchi yenu ni failed state, hamjui mnalolifanya wala mnalolitaka, mnamuogopa raia wenu na kuwaonea wengine, stupid country.
 
Labda ulizaliwa jana. Wewe tulia hapo hapo, shughulika na mambo mengine. Kenya huwezi ielewa.
Kwasababu ni nchi ya vichaa na wendawazimu ndiyo sababu hawezi kuielewa, ameulizwa swali zuri, badala ya kujibu unaleta ukichaa wako.
 
Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.
Sasa unalialia ya nini? Kama imekuuma sana una uhuru wa kufunga safari uje Kenya uwasilishe kesi mahakamani.
 
Back
Top Bottom