pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.Aliwezaje kugombea ugavana wa Nairobi wakati yeye ni Mcanada? Au katiba ya Kenya inaruhusu?