pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.
We kijana tulia unavoninukuu kwenye comment zangu zote utafanya watu wadhani mimi ndo nilishinda jackpot ya sportpesa! 😀 Usiwe na sitilesi 'failed state' yetu ya Kenya tunaipenda sana, na tutajitahidi tu hadi pale tutakapoifikia nchi yako ya Tz. Inshallah.Sasa mbona huyo muhaini mkuu hamumkamati kama kweli kujiapisha ni uhaini?, nchi yenu