Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Ukisikia failed state ndiyo hii, kwani sio raia wa Kenya? ninyi si mnakatiba bora yenye kuruhusu uhuru wa kujieleza, iweje Miguna akitumia uhuru wake hamutaki kutumia sheria zenu mlizojiwekea?, onyesha kipengele cha sheria kinachosema raia wa Kenya akifanya kosa anafukuzwa nchini, stupid failed state.

Sasa mbona huyo muhaini mkuu hamumkamati kama kweli kujiapisha ni uhaini?, nchi yenu
We kijana tulia unavoninukuu kwenye comment zangu zote utafanya watu wadhani mimi ndo nilishinda jackpot ya sportpesa! 😀 Usiwe na sitilesi 'failed state' yetu ya Kenya tunaipenda sana, na tutajitahidi tu hadi pale tutakapoifikia nchi yako ya Tz. Inshallah.
 
We kijana tulia unavoninukuu kwenye comment zangu zote utafanya watu wadhani mimi ndo nilishinda jackpot ya sportpesa! 😀 Usiwe na sitilesi 'failed state' yetu ya Kenya tunaipenda sana, na tutajitahidi tu hadi pale tutakapoifikia nchi yako ya Tz. Inshallah.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ndio tatizo la uraia pacha
Anakinukisha,halafu nchi yake ya kambo inajifanya kumuomba kwa usalama wake
 
Sasa MTU kumbe sio RAIA wa Kenya halafu analeta vurugu kwenye nchi za watu?Hawa ndio baada ya machafuko kutokea ndio wanakimbia nje ya nchi na familia zao,na kuwachia RAIA msala!
 
Kwao Canada !! [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kenya haiwezi kuwa kila mtu ana Sharubu kama familia ya Kambale lazima serekali ya Kenya ijifunze kwa Moi bado yuko hai wapate busara zake.

Hivi ule msitu wa Ngong mlishaufeka wote ?
 
Mzee naona ndo umeamka sasa hivi. Shikamoo? Katiba ya Kenya ina ruhusu mtu kuwa na 'dual citizenship', uraia pacha. Yeye kura yake alikuwa ameisajili Nairobi, na makao yake ni Nairobi. Haya mzee, kaote jua. Ambia mjukuu akuletee mkongojo wako kwanza.
NRM General Miguna Miguna ni raia wa Kenya by birth?
 
We miss KIBAKI already,,,,si hawa vinyangarika wawili uhurutu.
Bure kabisa.
Wafuasi wa NASA huwa mna 'temporary memory' kama ile ya ngiri. Mlisahau Miguna Miguna alivomponda na kumtusi Raila. Sasa pia mmesahau ya rais mstaafu Mwai Kibaki, mlivojaribu kumshurutisha aseme 'Raila Tosha' kabla ya uchaguzi wa 2013? Yaani mzee Kibaki alivodhubutu kutamka hayo maneno, alikohoa karibia siku mbili mfululizo! 😀😀😀
 
..Miguna Miguna alikamatwa nyumbani kwake baada ya kushiriki kuapishwa kwa kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga
[HASHTAG]#Shithole[/HASHTAG] Country. Kwanini Raila Odinga - the main culprit - hakamatwi na kushtakiwa kwa uhaini kama hawa jamaa wapo serious?
 
Habari wadau wa JF.

Kutoka nchini Kenya ripoti zinaarifu kuwa Wakili Miguna Miguna aliyemuapisha Raila Odinga, amerejeshwa kwa nguvu nchini Canada. Kurejeshwa kwake Canada kunakuja saa chache baada ya jaji aliyesikiliza kesi yake huko kajiado, kuruhusu apate dhamana kinyume na makosa ya uhaini.

Hatua hii iliikera serikali na kuamua kumsafirisha usiku kwenda nchini Canada ambapo pia ana uraia wa huko. Miguna alikuwa pia na uraia wa Kenya na no Mkenya kwa kuzaliwa ila aliwahi pia kuwa raia wa Canada hivyo kuwa na uraia wa nchi mbili. Miguna ameipinga hatua hiyo na pia jaji mkuu wa kenya asema Miguna ana haki ya kuishi nchini Kenya kwa sababu Kenya inatambua uraia wa nchi mbili yaani dual citizenship.

Kauli hii ya jaji mkuu inazidi kuleta mvutano nchini Kenya.Huku wizara ya mambo ya ndani nchini humo ikisema Miguna alipata hati ya kusafiria kinyume na sheria. Hadi sasa Raila hajaongea chochote kuhusu kadhia hii.
 
Feb 7, 2018
Amsterdam, The Netherlands

Miguna Miguma interview with the BBC's Jamie Coomarasamy on his deportation


Miguna Miguna amepewa fursa ya kuzuru dunia bila stress. Makosa yake ni kukosa kusoma mood ya nyakati hizi. Wenzake waliomuapisha Raila pamoja naye wala hawana stress, wapo Kenya na hawajalala korokoroni zaidi ya siku mbili. 😀 Yeye alichemsha alipojiita jenerali wa NRM wakati hakuna yeyote ule ndani ya NASA aliyempa cheo hicho. Wala hakuwa na strategy yeyote ile kando na kupiga kelele zaidi ya kila mtu. Maadui wake ni hao hao anaowaita maswahiba!
 
Back
Top Bottom