Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Note that even the officer in the IEBC who resigned in the 9th hour during the election re-run of 26/10/2017 was of the status as Miguna wa Miguna, dual nationality an alien!!
Thank you for the reminder.
 
Kwahyo huko Canada wanaenda mtafutia na nyumba au anatelekezwa Airport!?..Kama hana makazi itakuaje!?.
 
Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Hahahaha
 
Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.

Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
Duh!
 
Ni kweli
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini na kusimamia haki!
 
Kesho yake ninge geuka mbona wasilete utani wananitoaje nchini kwangu mwenyew!..

Rafiki yangu ile Passport ya Kenya inakuwa invalidated mara moja kwa sababu ya kuongoza NRM jeshi la kigaidi kama la ISIS, NRM ya Joseph Kony wa Uganda na General Riek Machar wa South Sudan aliekimbilia Africa Kusini labda apite njia za panya! Serikali ina mkono mrefu usichezee serikali.
 
Mwambieni akaipe hi bombardier yetu
 
Sikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .
Haya basi tuache na rais wetu 'mdhaifu'. Hakuna yeyote ule aliyekuomba mawaidha yako wala hata senti yako moja.
 
Utakuja sikia kuwa yeye mwenyewe ndo alichapa dili na serikali kupitia wakombozi wake Canada baada ya kugundua kuwa maharage ya bure hayana royco. 😀
Hahahaha
Nimecheka kwa nguvu
Uwiii
Siasa hapana kabisa!
Watu wana piga madeal wengine njaa tupu!
Kweli wajinga ndiyo waliwao
 
Wampe nchi MAGUFULI kwa wiki moja tu.

Kama ulisikia matamshi ya waziri wa sheria bungeni jana. "Raisi wa jamhuri ya muungano ni mmoja tu, naye ni JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, na hakuna mwingine ni mmoja tu, naye ndiye mkuu wa majeshi na jemedari mkuu" nikasema moyoni, ikitokea mtu akajiapisha kuwa rais kama Kenya, sijui ingekuwaje.
Baada ya wiki kuisha na yeye the Hague
 
Muusika wakianza naye watu wataresist, alafu atakuwa na watu wenye wa kumuunga mkono, ngoja waondolewe kwanza viongozi wanaomuunga mkono abaki ye mwenyewe akamatwe kama kondoo aliyenyeshewa mvua
Hiyo nimeiona
Vurugu sio nzuri
Hekima ya Nyoka ndiyo inahitajika sio ngurumo ya Simba!
 
Aliwezaje kugombea ugavana wa Nairobi wakati yeye ni Mcanada? Au katiba ya Kenya inaruhusu?
 
Baada ya wiki kuisha na yeye the Hague
Ingekuwa hivyo, lawama zote anazotupiwa angekuwa ameshapelekwa.

Kenya wanasiasa wamedekezwa sana, wengi wapiga dili tu hawafanyi kazi. Kutwa nzima siasa, kibaya zaidi wanafanya maandamano kupitia vijana ambao hawana kazi, wale vijana hawana cha kupoteza kwenye maisha.

Kwenye maandamano, kazi ni kuiba na kuharibu mali za watu.
 
Back
Top Bottom