Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

Asikudanganye mtu kwamba haya yote ni kwasababu ya kuapishwa kwa Raila tu. Kuna mengi yanaendelea kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea. Inasemekana kwamba hiyo siku ya kuapishwa kwa Raila kuna vijana wengi ambao walisafirishwa kuja Nairobi. Hawa vijana walikuwa wamekabithiwa bunduki na silaha kali kali ili wazitumie kukabiliana na polisi. Ngoma bado, utajoinea mengi tu hivi karibuni!
Ok,lkn kw nn Raila asingekamtwa cku hiyo hiyo!?lkn pia kw nn serikali isingezuia hayo yoote.km ilikuwa inajua kbs kuwa kuna siraha na zimetokea wp kw kz hii!! Kw nn raila aruhusiwe mpk aanze kujiapisha na mpk amalize na mpk atoroke!!Kiongoz ukitaka uwe jasiri ni lazima uushinde uoga.
 
Ungeacha kuvuta bange we nyang'au ungeelewa kwamba uhaini si jambo la kucheka cheka nalo. We chapa kitu chako kisha fika pale Dar, inua bibilia na ujiapishe kama rais wa Tanzania. Hatutangoja mrejesho.
Sikia bhana.ukiapa kuilinda katiba km rais ni lazima uwe jasiri.uhuru kenyata ni dhaifu na ni mwoga .
 
Ok,lkn kw nn Raila asingekamtwa cku hiyo hiyo!?lkn pia kw nn serikali isingezuia hayo yoote.km ilikuwa inajua kbs kuwa kuna siraha na zimetokea wp kw kz hii!! Kw nn raila aruhusiwe mpk aanze kujiapisha na mpk amalize na mpk atoroke!!Kiongoz ukitaka uwe jasiri ni lazima uushinde uoga.
Atoroke wapi, yupo hapo hapo Kenya, tena Nairobi bila shaka.
 
Vipi khs mali zake Kenya kuhusu profession yake au school of law alisomea Canada?

Ila wakenya wana vituko sana, hizi mambo nyingine huwezi zisikia nchi nyingine. Demikrasia walioitaka imekua kubwa kui handle
 
Asikudanganye mtu kwamba haya yote ni kwasababu ya kuapishwa kwa Raila tu. Kuna mengi yanaendelea kimya kimya huku uchunguzi ukiendelea. Inasemekana kwamba hiyo siku ya kuapishwa kwa Raila kuna vijana wengi ambao walisafirishwa kuja Nairobi. Hawa vijana walikuwa wamekabithiwa bunduki na silaha kali kali ili wazitumie kukabiliana na polisi. Ngoma bado, utajoinea mengi tu hivi karibuni!
Aisee
Asante sana kwa kutufahamisha
 
Is dual citizenship a new deterrence to political activism in Africa?

I know, Canada did intervene on behalf of their citizen Miguna Miguna, hence his deportation but this makes me wonder.

Can this precedence give African leaders another arrow in their quiver to deal with some "obnoxious" opposition firebrands?

Time will tell.

Note that even the officer in the IEBC who resigned in the 9th hour during the election re-run of 26/10/2017 was of the same status as Miguna wa Miguna, dual nationality an alien!!
 
Back
Top Bottom