Kenya kuna vitu akili hawana kabisa wajinga sifuri
Mtu mume na mke wote mfano wote wanajeshi mume mwanajeshi yuko kikosi cha Kenya kilichoko Somalia
Mwingine mwanajeshi mwanamke mkewe yuko Kikosi cha jeshi cha Kenya kilichoko kongo
Mtoto wao unapotaka kuwa awe na wazazi wake asiwe bweni asome wapi congo au Somalia day school?
Wakenya kwa hili hopeless kabisa
Unakuta mfano mama changudoa malaya anajiuza chumba anakitumia kujiuza humo humo wanachokaa na mtoto anaishi na mtoto uwanja wa fisi kwa malaya usalama wa huyo mtoto ni bweni
Factors za kupeleka watoto bweni ziko nyingi mno mojawapo ni kuhakikisha mtoto anaondoka eneo hatarishi kwa mtoto
Kuna day mtoto anasafiri umbali mrefu mno kwenda shule
Pia kuna wafugaji huhama hama kutoka eneo moja kwenda lingine ambalo hata shule hizo za day hazipo solution yao ya watoto wao kusoma ilikuwa bweni
Kuna Wakenya Diaspora mume na mke wako nje watoto husomesha Bweni Kenya sababu hawawezi afford kusomesha watoto wao nchi waliko Anataka wasome day ipi? Uamuzi wa kijinga Ruto na serikali yake wa wamefanya
Kenya wamefanya uamuzi wa kijinga sana .Tanzania tusije kuiga.uamuzi huo Utamlipukia puani Ruto sio muda mrefu utelekezaji ukianza.Mark my words.