Ni sahihi kabisa mzazi wala shule hakuna anayekuwa na udhibiti wa tabia ya mtoto hapo katikati.Bweni mtoto akikabidhiwa unajua nani responsible na mtoto na answerable kipindi yuko shule
Day school mtoto kwenda shule na kurudi yuko dunia yake ambayo mzazi na shule wala hawana control na tabia yake huko njiani katongozwa na konda wa daladala au bodaboda wamechepuka kufanyana nk nobody is responsible atakwambia usafiri ulikuwa mgumu kumbe wametoka kufanyana huko
Control ya character ya mtoto in between those movements hata awe anatumia school bus ngumu kuna issues unless mzazi awe na private car au ampeleke mtoto shule mkono kwa mkono na kwenda kumchukua mkono kwa mkono
Mtoto kupeleka Bweni wazazi wapelekaji sio wajinga kama serikali ya Kenya inavyotaka kuwaona.Ni wazazi watu wazima wenye akili zao
Pili Ruto ana ujinga mkubwa mno kwenye huo uamuzi anaua soko la kimatsifa la shule za bweni za kenya za chekechea na msingi
Nchi zote za Africa mashariki ikiwemo Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, South Sudan, na Congo na nchi kama Somalia na Ethiopia hupeleka watoto nursery na Primary shule za Kenya sababu huamini kuna Elimu bora
Sasa akifuta bweni nursery na primary atajijua hao wakenya waliowekeza shule za private za chekechea na Primary zinazopokea wanafunzi kibao toka nchi za East African Community mibasi kibao na ndege zikishusha watoto toka nchi hizo akifuta atajijua.Kwa hiyo anataka wasome day?
Huo uamuzi wa Ruto na serikali yake hopeless na utapata resistance kubwa