Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

Kama unajiona uko bize kiasi kwamba una majukumu mengi, hupaswi kuzaa kuja kumtesa mtoto mdogo kuishi na watu walifikia!! Madhara ya mtoto kulelelewa na watu baki moja wapo ni asilimia kubwa ya watoto hawa hukosa upendo kwa wazazi wao na kujikuta wanawapenda zaidi wale walio walea, nahapo itategemea kama hao wanao mlea ni kweli wanamapenzi ya dhati kwa mtoto!!

Uwezi kulielewa hili sasa hiv kama kijana, ila ukifika umri wa uzee ukiwa mpweke, unahitaji faraja ya watoto wako na mtoto hakuwahi kuwa na bond na wewe toka utotoni kama mzazi, utapiga simu sana akutembelee katu huto muona!! Zaidi atashauri na wewe upelekwe nyumba za wazee umpunguzie kero

Kama mzazi unawajibika moja kwamoja kwa mtoto au watoto wako!! Kama unajiona huna na fasi ya kuspend time na watoto wako usizae subiri siku ukiwa free zaaa!! Kuliko kuwa damp shule eti kisa unamajukumu mengi
Mkuu achana na hawa wabishi. Jaribu kuchunguza: Bongo asilimia kubwa ya wanaopeleka watoto wadogo shule za bweni hawajakosa nafasi ya kukaa nao. Ni ulimbukeni tu wa kuiga na uvivu wa kukaa nao. Kama hawa ma-single mother ndiyo balaa. Wengi wanasukumia watoto boarding ili wapate muda wa starehe.
 
Sio kosa lako, tatizo ukishakua ccm akili inapigwa ganzi

Kama wewe ni mzazi na mzalendo wa taifa hioi, unaweza kuwqza miaka kadhaa ijayo tutakua na taifa la wananchi ambao hawaoni umuhimu wa familia kwa sababu hawakupata ile family bond, malezi yao yote hawakuwahi kuwa karibu na wazazi

Unajua taifa linaanzia kwenye ngazi ya familia

akili kumkichwa
Kila mzazi ahangaike na wanawe hangaika na wanao ya watoto wa wazazi wengine waachie wenyewe hasa linapokuja swala la kusoma kuwa wasome bweni au day

Hangaika na wanao wa wengine kwenye hilo waachie wenyewe

Kesha ukihangaika na mwanao ya wazazi wengine huo ni umbeya mtaani.koma
 
We ni mjinga sana na mpumbavu
Peleka mwanao boarding acha kushawishi wengine

Unakwepa malezi wewe mvivu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ma single mother hao (baadhi).. wanasemaga watoto ni kero. Wanawasukumia shule za kulala ili wapate muda wa matanuzi. Nazungumzia from experince. Hii ni baada ya wasichana wengi wa kazi kutoaminika wanapoachwa na watoto. La kujiuliza ni hili: Kwani hata house girl ndiyo mlezi wa watoto?
 
Ni sahihi kabisa mzazi wala shule hakuna anayekuwa na udhibiti wa tabia ya mtoto hapo katikati.Bweni mtoto akikabidhiwa unajua nani responsible na mtoto na answerable kipindi yuko shule

Day school mtoto kwenda shule na kurudi yuko dunia yake ambayo mzazi na shule wala hawana control na tabia yake huko njiani katongozwa na konda wa daladala au bodaboda wamechepuka kufanyana nk nobody is responsible atakwambia usafiri ulikuwa mgumu kumbe wametoka kufanyana huko

Control ya character ya mtoto in between those movements hata awe anatumia school bus ngumu kuna issues unless mzazi awe na private car au ampeleke mtoto shule mkono kwa mkono na kwenda kumchukua mkono kwa mkono

Mtoto kupeleka Bweni wazazi wapelekaji sio wajinga kama serikali ya Kenya inavyotaka kuwaona.Ni wazazi watu wazima wenye akili zao

Pili Ruto ana ujinga mkubwa mno kwenye huo uamuzi anaua soko la kimatsifa la shule za bweni za kenya za chekechea na msingi

Nchi zote za Africa mashariki ikiwemo Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, South Sudan, na Congo na nchi kama Somalia na Ethiopia hupeleka watoto nursery na Primary shule za Kenya sababu huamini kuna Elimu bora

Sasa akifuta bweni nursery na primary atajijua hao wakenya waliowekeza shule za private za chekechea na Primary zinazopokea wanafunzi kibao toka nchi za East African Community mibasi kibao na ndege zikishusha watoto toka nchi hizo akifuta atajijua.Kwa hiyo anataka wasome day?

Huo uamuzi wa Ruto na serikali yake hopeless na utapata resistance kubwa
Kama una watoto ndugu yangu under 10 na ukaona ni sawa wakakae boarding trust me wewe huna sifa za kuwa baba au mama wa mtoto!! Tabia ya mtoto mtu responsible wa kwanza kabisa ni mzazi wake sio shule!! Awe day awe boarding tabia mbovu zinapatikana!!

Tunachonagalia ni umri wa mtoto na nini anapaswa kufanya na kufanyiwa!! Kuna lot of dis advantages mtoto kukaa boarding kuliko unge kanaye wewe!! Hata wazungu tunao waiga huu upumbavu hawana!!
 
Kama unajiona uko bize kiasi kwamba una majukumu mengi, hupaswi kuzaa kuja kumtesa mtoto mdogo kuishi na watu walifikia!! Madhara ya mtoto kulelelewa na watu baki moja wapo ni asilimia kubwa ya watoto hawa hukosa upendo kwa wazazi wao na kujikuta wanawapenda zaidi wale walio walea, nahapo itategemea kama hao wanao mlea ni kweli wanamapenzi ya dhati kwa mtoto!!
Hayakuhusu hangaika na wanao

Wengine tuachie wenyewe tumezaa hatujakupigia kura au kuhitaji ushauri wako
Tatizo kwenye malezi ya mtoto watu kama nyie hujifanya ma referee wa kujua mtoto wa mwingine alelewaje badala ya kuhangaika na wa kwenu

Nashukuru Hakuna referee wa mpira ambaye hupewa kombe

Kombe hupewa timu zilizoshinda kucheza sio mwamuzi au referee

Wewe unataka kujifanya referee wa wazazi wengine Waleaje watoto wao.Narudia na utanikumbuka hangaika na watoto wako achana na wazazi wengine wanaleaje watoto wao Kama wanapeleka bweni shut up

Mwisho wa siku ndio utajua kama mwanao ulimlea sahihi au la ukilinganisha na huyo alienda bweni

Narudia hangaika na watoto wKo achansa na watoto wa wazazi wengine wapeleka bweni.Fainali itaonekana mwishoni kwa sasa kila mzazi ahangaike na mwanawe ampeleke bweni au day .Fainali matokeo ya maisha nk yataonyesha
 
Sio kosa lako, tatizo ukishakua ccm akili inapigwa ganzi

Kama wewe ni mzazi na mzalendo wa taifa hioi, unaweza kuwqza miaka kadhaa ijayo tutakua na taifa la wananchi ambao hawaoni umuhimu wa familia kwa sababu hawakupata ile family bond, malezi yao yote hawakuwahi kuwa karibu na wazazi

Unajua taifa linaanzia kwenye ngazi ya familia

akili kumkichwa
Uko sahihi kabisa. Mimi huwa nasema hata hili la kuwaacha wasichana wa kazi ku-take care ya watotio muda wote nalo ni shida. Mzazi anaporudi kazini na kabla ya kwenda, pia weekends anatakiwa ashuhulike na watoto wake na siyo kila kitu kuacha kwa dada.
 
Nawapongeza kwa hili..
Ni unyanyasaji wa watoto kuwapeleka boarding schools wangali wadogo…
Wazazi tuwalee watoto wenyewe tuache uvivu
 
Imagine huko mbeleni tutakua na viongozi wa ajabu wasio na mapenzi na nchi maana hawakupata mapenzi ya wazazi
 
Nawapongeza kwa hili..
Ni unyanyasaji wa watoto kuwapeleka boarding schools wangali wadogo…
Wazazi tuwalee watoto wenyewe tuache uvivu
Natamani ifike mahali hata kuzaa iwe ni mpaka uqualify in terma of commitment katikamalezi sio tu kila mtu anazaa halafu anaenda kutupa mtoto boarding
 
Kenya kuna vitu akili hawana kabisa wajinga sifuri

Mtu mume na mke wote mfano wote wanajeshi mume mwanajeshi yuko kikosi cha Kenya kilichoko Somalia

Mwingine mwanajeshi mwanamke mkewe yuko Kikosi cha jeshi cha Kenya kilichoko kongo

Mtoto wao unapotaka kuwa awe na wazazi wake asiwe bweni asome wapi congo au Somalia day school?

Wakenya kwa hili hopeless kabisa

Unakuta mfano mama changudoa malaya anajiuza chumba anakitumia kujiuza humo humo wanachokaa na mtoto anaishi na mtoto uwanja wa fisi kwa malaya usalama wa huyo mtoto ni bweni

Factors za kupeleka watoto bweni ziko nyingi mno mojawapo ni kuhakikisha mtoto anaondoka eneo hatarishi kwa mtoto

Kuna day mtoto anasafiri umbali mrefu mno kwenda shule

Pia kuna wafugaji huhama hama kutoka eneo moja kwenda lingine ambalo hata shule hizo za day hazipo solution yao ya watoto wao kusoma ilikuwa bweni

Kuna Wakenya Diaspora mume na mke wako nje watoto husomesha Bweni Kenya sababu hawawezi afford kusomesha watoto wao nchi waliko Anataka wasome day ipi? Uamuzi wa kijinga Ruto na serikali yake wa wamefanya

Kenya wamefanya uamuzi wa kijinga sana .Tanzania tusije kuiga.uamuzi huo Utamlipukia puani Ruto sio muda mrefu utelekezaji ukianza.Mark my words.
Kwahiyo kipindi cha likizo hao Watoto inakuwaje? Watabaki bweni miaka yote? Hata likizo hawaendi makwao katika hizo sehemu hatarishi?
 
Kuna wajinga wanapeleka hadi wa miaka mitatu

Haya mambo nilishayakaa,wanangu mpaka miaka 6 ndo anaenda shule,huo muda wa 0 mpaka 5 anakuwa anajifunza stadi mbali mbali katika mazingira anayoishi na akianza shule wakati wa likizo ni marufuku kushika daftari ama kitabu,likizo ni kula bata na kujifunza stadi mbalimbali kama kulima bustani au ufundi wa aina mbalimbali.
Aisee safi, sana hii na apply hata kwa wanangu wa shule za msingi likizo nikucheza na kuruka ruka tu na kuexperience maisha nje ya shule na kuapply ambacho wamesoma zile mambo sijui package ya likizo sichukuagi kabisa
 
Imagine huko mbeleni tutakua na viongozi wa ajabu wasio na mapenzi na nchi maana hawakupata mapenzi ya wazazi
Watu hawajui implication ya haya mambo. Siyo kwenye uongozi tu bali hata kwenye maisha ya kawaida ya familia. Binadamu wameumbwa kukaa kama familia ya watu wachache na siyo makundi kama ya swala.
 
Nimekupa mfano mmojawapo kuna maelfu ya wanajeshi Huish.makambini hata ndani ya Kenya na huhama hama kila wakati kwenda mikambi mingine maporini

Solution ya watoto ni bweni

Hiyo nimetoa mfano proffession moja tu

Kuna madereva safari ndefu hawawi nyumbani na mkee ni house girl kwenye nyumba ya tajiri mmoja anakaa huko huko.Bosi hataki housegirl mwenye mtoto.aje naye kwake akae naye

Kukataza bweni Ruto na serikali yake hawajiekewi kabisa wako sifuri

Msimamo wangu time will tell utelekezaji ukianza .Wakenya nawajua they are no nonsense people. Utelekezaji ukianza Ruto atapata resistance kubwa mno toka kwa wakenya
January 2023 sio mbali asubiri muziki wake toka kwa wakenya

Watanzania huo uamuzi tukae nao mbali tusithubutu kuiga ni wa kijinga na utapata resistance kubwa mno utelekezaji ukianza

Hao watoa maamuzi pressure ikiwa kubwa ya wakenya kupinga Raisi Ruto kujikosha atawapiga chini wote na kuwafuta vyeo kuwa walimshauri vibaya!!!
Ukiamua kuwa mzazi lazima u-take responsibility ya malezi ya mtoto wako, huwezi kuhamisha jukumu hili kwa mtu/watu wengine..kama unadhani kazi unazofanya zitakunyima muda wa malezi, subiri usipate mtoto hadi muda utakaporuhusu.
 
Kenya kuna vitu akili hawana kabisa wajinga sifuri

Mtu mume na mke wote mfano wote wanajeshi mume mwanajeshi yuko kikosi cha Kenya kilichoko Somalia

Mwingine mwanajeshi mwanamke mkewe yuko Kikosi cha jeshi cha Kenya kilichoko kongo

Mtoto wao unapotaka kuwa awe na wazazi wake asiwe bweni asome wapi congo au Somalia day school?

Wakenya kwa hili hopeless kabisa

Unakuta mfano mama changudoa malaya anajiuza chumba anakitumia kujiuza humo humo wanachokaa na mtoto anaishi na mtoto uwanja wa fisi kwa malaya usalama wa huyo mtoto ni bweni

Factors za kupeleka watoto bweni ziko nyingi mno mojawapo ni kuhakikisha mtoto anaondoka eneo hatarishi kwa mtoto

Kuna day mtoto anasafiri umbali mrefu mno kwenda shule

Pia kuna wafugaji huhama hama kutoka eneo moja kwenda lingine ambalo hata shule hizo za day hazipo solution yao ya watoto wao kusoma ilikuwa bweni

Kuna Wakenya Diaspora mume na mke wako nje watoto husomesha Bweni Kenya sababu hawawezi afford kusomesha watoto wao nchi waliko Anataka wasome day ipi? Uamuzi wa kijinga Ruto na serikali yake wa wamefanya

Kenya wamefanya uamuzi wa kijinga sana .Tanzania tusije kuiga.uamuzi huo Utamlipukia puani Ruto sio muda mrefu utelekezaji ukianza.Mark my words.
Jifunze kutumia maneno yenye staha kwa wengine..lugha yako tu inatosha kujua unachoshauri hakifai!
 
Hiyo ni vita ya kibiashara tu kati ya wamiliki wa shule za day schools na boarding schools nothing else

Kwa Kenya ni just business war

Hakuna cha bad parenting wala nini

Mtoto mara ingine kwenda bweni mfano Christian Schools za bweni akiwa anatokea kwenye faithless parents ambao hawana mpango na dini inamsaidia kumjenga kiimani kuanzia asubuhi,mchana,jioni na usiku.Anaishi kwenye good environment ya faith society
Wewe mzazi huna imani inakuwaje unataka mtoto alelewe kwenye malezi ambayo wewe huyataki? Si umlee kulingana na unachoamini? Suala la malezi kwa mtoto kati ya 0-14 ni la mzazi 100%.
 
Wewe mzazi huna imani inakuwaje unataka mtoto alelewe kwenye malezi ambayo wewe huyataki? Si umlee kulingana na unachoamini? Suala la malezi kwa mtoto kati ya 0-14 ni la mzazi 100%.
Mtoto kumlea malezi unayoyataka ni pamoja na kumtafutia shule iwezayo kumlea utakavyo.kumtamtafutia shule nzuri inayoendana na maono ya mzazi ni sehrmu ya jukumu la mzazi la kulea mtoto.Ukimpekeka shule nzuri umefanya jukumu la mzazi kulea mtoto pia

Ndio wazazi hupeleka bweni shule zile zilinganazo watakavyo hawapeleki tu kiholela Shule inachujwa hasa mfano mzazi anatamani mwanawe alelewe kwa maadili ya kikiristo masaa 24 atampeleka mwanawe shule ya Bweni ya Kikristo inayofundisha ukristo na kumlea Kikristo na maadil ua kikristo mtoto masaa 24 tofauti na nyu.bani ambako wazazi husband kazini na kwenye biashara zao hutoka alfajiri ns kurudi udiku hawana muda wa kumfunza hayo

Na housegirl hajasomea hayo
 
Ukiamua kuwa mzazi lazima u-take responsibility ya malezi ya mtoto wako, huwezi kuhamisha jukumu hili kwa mtu/watu wengine..kama unadhani kazi unazofanya zitakunyima muda wa malezi, subiri usipate mtoto hadi muda utakaporuhusu.
Jukumu.la mzazo halihami kwa kumpeleka mtoto shule iwe ya day au bweni ingekuwa hivyo basi hakuna haja hata ya kumpeleka mtoto shule iwe bweni au day

Kwa argument ni kuwa mtoto kumpeleka akasomeshwe na mtu mwingine iwe day au bweni umesukumia jukumu la kuelimisha mtoto kwa mtu mwingine !! Hivyo mzazi umeshindwa kuwajibika unatakiwa usomeshe mwenyewe nyumbani

Hiyo concept yako wala haiko sahihi
 
Mimi nina watoto na wako bweni na siamini kwenye shule za day
 
Mtoto kumlea malezi unayoyataka ni pamoja na kumtafutia shule iwezayo kumlea utakavyo.kumtamtafutia shule nzuri inayoendana na maono ya mzazi ni sehrmu ya jukumu la mzazi la kulea mtoto.Ukimpekeka shule nzuri umefanya jukumu la mzazi kulea mtoto pia

Ndio wazazi hupeleka bweni shule zile zilinganazo watakavyo hawapeleki tu kiholela Shule inachujwa hasa mfano mzazi anatamani mwanawe alelewe kwa maadili ya kikiristo masaa 24 atampeleka mwanawe shule ya Bweni ya Kikristo inayofundisha ukristo na kumlea Kikristo na maadil ua kikristo mtoto masaa 24 tofauti na nyu.bani ambako wazazi husband kazini na kwenye biashara zao hutoka alfajiri ns kurudi udiku hawana muda wa kumfunza hayo

Na housegirl hajasomea hayo
Bahati mbaya huelewi unachoandika..kila unapoandika unaleta jambo tofauti na ulilosema mwanzo..wewe uliandika suppose mzazi hana imani yaani ni mpagani na hapendi mtoto wake akae kwenye mazingira anayoishi hivyo ni bora ampeleke shule bweni ya Kirkliston apart malezi mazuri, ndio maana nikakuuliza wewe mzazi huna imani inakuwaje unapeleka mtoto sehemu ambayo wewe hutaki kuamini wanayoamini wao?
 
Jukumu.la mzazo halihami kwa kumpeleka mtoto shule iwe ya day au bweni ingekuwa hivyo basi hakuna haja hata ya kumpeleka mtoto shule iwe bweni au day

Kwa argument ni kuwa mtoto kumpeleka akasomeshwe na mtu mwingine iwe day au bweni umesukumia jukumu la kuelimisha mtoto kwa mtu mwingine !! Hivyo mzazi umeshindwa kuwajibika unatakiwa usomeshe mwenyewe nyumbani

Hiyo concept yako wala haiko sahihi
Kama unaelewa maana ya malezi kwamba kila hatua kadri mtoto anavyokuwa malezi yanabadilika, usingeandika haya..ndio maana huwezi tuma mtoto wa miaka 3 dukani..tunachosema hapa ni lazima wazazi wakae na mtoto wao anapokuwa na umri kati ya 0-14 hili ni jukumu lao kwa umri huo hapaswi kuwa shule ya bweni! Shule ya kwanza kwa mtoto ipo nyumbani kwa wazazi wake kabla ya kukabidhi wengine wasaidie kumlea kumpa elimu ya mambo mengine kwa maisha yake.
 
Back
Top Bottom