Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

Bahati mbaya huelewi unachoandika..kila unapoandika unaleta jambo tofauti na ulilosema mwanzo..wewe uliandika suppose mzazi hana imani yaani ni mpagani na hapendi mtoto wake akae kwenye mazingira anayoishi hivyo ni bora ampeleke shule bweni ya Kirkliston apart malezi mazuri, ndio maana nikakuuliza wewe mzazi huna imani inakuwaje unapeleka mtoto sehemu ambayo wewe hutaki kuamini wanayoamini wao?
OK kifupi kaaaida sana mfano mwanaume malaya huwa hataki kabisa kuoa mwanamke malaya hutaka atakayeoa awe na sifa kama za malaika wakati yeye sifa hizo hana

Pia mwanamke malaya hupenda apate mume ambaye ni malaika sio malaya kama yeye

Video hivtyo kuna mzazi unamkuta mpagani lakini hataki wanawe waje kuwakana yeye anapeleka shule za bweni huko za Kikristo wakalelewe kikristo na wawe na dini
 
Usilete mifano ya matendo au tabia za watu ambao jamii haikubaliani navyo, umalaya si tabia njema..unafikiriaje kupata mtoto wakati tabia yako mwenyewe si nzuri..nadhani ni vyema mtu ashughulikie kwanza matatizo yake binafsi ya kitabia kabla ya kupata mtoto.
 
Kama unaelewa maana ya malezi kwamba kila hatua kadri mtoto anavyokuwa malezi yanabadilika, usingeandika haya..ndio maana huwezi tuma mtoto wa miaka 3 dukani..tunachosema hapa ni lazima wazazi wakae na mtoto wao anapokuwa na umri kati ya 0-14 hili ni jukumu lao kwa umri huo hapaswi kuwa shule ya bweni! Shule ya kwanza kwa mtoto ipo nyumbani kwa wazazi wake kabla ya kukabidhi wengine wasaidie kumlea kumpa elimu ya mambo mengine kwa maisha yake.
Unaongelea mambo ya kale ya enzi hizo ambapo mama alikuwa mama wa nyumbani kutwa yuko.nyumbani na baba yuko.mazingira hayo hayo ya nybani.masaa 24.Enzi hizo za baba na mama wote wakulima kijijini muda wote mko nao .Mnashinda wote kuanzia asubuhi hadi usiku

Dunia hiyo ilishapita ma hustler ana kihoteli anarudi usiku sana saa sita usikuhukobana ndio kabisa akitoka kazini au kwenye biashara anapitia bar analewa hadi usiku wa manane ndio anarudi nyumbani

Akirudi watoto wamelala hayo malezi ya kulea mtoto atayafanya saa ngapi? Ndio maana wazazi wengine.wakiangalia pattern ya maisha yao ndio maana wanapeleka bweni.Na wanakubaliana wote baba na mama .Ndio maana unaona hizo shule za bweni watoto wako full madarasa yote.Ukiwaona hivyo ujue si kuwa wazazi hasJui wafanyalo wanajielewa sana tena wengine wabunge maproffessor, mawaziri ,majaji na watu wenye hadhi zao na uelewa wa juu sana kwenye jamii.
 
Usilete mifano ya matendo au tabia za watu ambao jamii haikubaliani navyo, umalaya si tabia njema..unafikiriaje kupata mtoto wakati tabia yako mwenyewe si nzuri..nadhani ni vyema mtu ashughulikie kwanza matatizo yake binafsi ya kitabia kabla ya kupata mtoto.
Huo ushauri ndio.mumupelekee Raisi Ruto wa Kenya kuwa kabla hajapiga marufuku bweni ashughulike kwanza na kiini cha kwa nini wazazi wanapeleka watoto shule za bweni wakiwa wadogo.? Tena kwa naelfu.Kulikoni?

Hapo ndipo aanzie
 
Unaongelea mambo ya kale ya enzi hizo ambapo mama alikuwa mama wa nyumbani kutwa yuko.nyumbani na baba yuko.mazingira hayo hayo ya nybani.masaa 24.Enzi hizo za baba na mama wote wakulima kijijini muda wote mko nao .Mnashinda wote kuanzia asubuhi hadi usiku

Dunia hiyo ilishapita ma hustler ana kihoteli anarudi usiku sana saa sita usikuhukobana ndio kabisa akitoka kazini au kwenye biashara anapitia bar analewa hadi usiku wa manane ndio anarudi nyumbani

Akirudi watoto wamelala hayo malezi ya kulea mtoto atayafanya saa ngapi? Ndio maana wazazi wengine.wakiangalia pattern ya maisha yao ndio maana wanapeleka bweni.Na wanakubaliana wote baba na mama .Ndio maana unaona hizo shule za bweni watoto wako full madarasa yote.Ukiwaona hivyo ujue si kuwa wazazi hasJui wafanyalo wanajielewa sana tena wengine wabunge maproffessor, mawaziri ,majaji na watu wenye hadhi zao na uelewa wa juu sana kwenye jamii.
Ni mzazi mpumbavu anayedhani kazi au biashara anayofanya ina thamani zaidi ya familia yake mwenyewe..kupanga ni kuchagua, usilete watoto duniani ili wawe shida kwa wengine kwa sababu wewe unatanguliza kazi au starehe zako..serikali ipo kwa ajili ya kurekebisha watu walioshindwa kupanga na kufanya uchaguzi wa mambo gani ni muhim na yapi si kipaumbele, ndio maana ya kuweka kanuni au sheria kumtaka mzazi alee mtoto wake mwenyewe na si kutafuta nafuu ya kumpeleka bweni..unaweza kuwa vyovyote, waziri, jaji, machinga whatever lkn ukakosa uwezo wa kufahamu mambo muhimu kwa maisha yako wewe mwenyewe.
 
Huu uamuzi sio sawa!
Maisha na mazingira nayoishi sitaki mwanangu ayasogelee itakuwaje?
 
Ni mzazi mpumbavu anayedhani kazi au biashara anayofanya ina thamani zaidi ya familia yake mwenyewe..kupanga ni kuchagua, usilete watoto duniani ili wawe shida kwa wengine kwa sababu wewe unatanguliza kazi au starehe zako..serikali ipo kwa ajili ya kurekebisha watu walioshindwa kupanga na kufanya uchaguzi wa mambo gani ni muhim na yapi si kipaumbele, ndio maana ya kuweka kanuni au sheria kumtaka mzazi aalee mtoto wake mwenyewe na si kutafuta nafuu ya kumpeleka bweni..unaweza kuwa vyovyote, waziri, jaji, machinga whatever lkn ukakosa uwezo wa kufahamu mambo muhimu kwa maisha yako wewe mwenyewe.
Mim najiuza unataka nimweke mwanangu mazingira haya?
Twajua yapasa tuishi na watoto wetu ila kuna mazingira hapana kwa kweli
 
Ila watu bwana. Hizo boarding schools za hapa nchini zilivyojaa nani anapeleka watoto wakati humu kila mtu anapinga
 
Mim najiuza unataka nimweke mwanangu mazingira haya?
Twajua yapasa tuishi na watoto wetu ila kuna mazingira hapana kwa kweli
Uko sahihi

Kuna mazingira hatarishi kwa malezimya mtoto

Bweni ndio solution

Familia nyingi zins changamoto za mazingira ikiwemo mfano kipato

Familia haina kipato cha uhakika cha kuhakikisha mtoto kala kila siku sababu ni wanachofanya wanakopa wanapeleka mtoto Bweni ambako atakuwa na uhakika wa kila siku kupata mlo tena cheap kuliko angekuwa nyumbani wao wanabaki na njaa zao na kuhangaikia kulipa deni

Pili kuna familia baba na mama wako nyumba moja lakini kutwa hawaivi kutwangana mingumi na kutukanana kila siku .Wazazi wansojielewa hupeleka mtoto bweni wabaki na matatizo yao mtoto aondoke maeneo hatarishi kwa makuzi.

Kuna mitaa hatarishi kwa watoto mtoto kubakwa nje nje kumejaa mateja kila kona na wavuta bangi hatari kwa watoto nk

Wazazi waamua kupeleka watoto bweni wadogo inatakiwa ufuatilie reason sio tu kuwaona wajinga

Tembelea environment za wazazi wenye watoto bweni angalia majukumu yaio yakoje kikazi chukulia natoa mfano tu mdogo ni mfano sio kitu halisi mfano mlinzi wa mama Samia raisi ni single mother kutwa yuko naye safarini huyo mwanaye shule ya day haiwezi kumfaa.Bweni ndio saizi yake.Sababu nchi inamhitaji mama yake sana kwa kazi nzito

Kuna single mothers ambao wana watoto na majukumu ya kutwa kutafuta riziki.Soo kila mtoto ana baba na mama yake

Huyu single mother hustler mhangaiksko.mtafuta riziki hadi usiku wa manane unapotaka mwanawe asome day school akili kichwani zitakuwa hazimo

Kwa sasa hivi single mothers ni wengi mno wako hadi wabunge mawaziri,majaji, maproffessor, wenye vyeo vikubwa serikalini kibao

Kwa kazi zao kukataza bweni ni kutowatendea haki single mothers
 
Back
Top Bottom