Serikali ya Kenya kuuza Makampuni 26 ya kiserikali ili kufidia sehemu ya Bajeti na kutekeleza miradi

Hahahahahaha tuulizeni sisi machungu ya kuuza hayo mashirika ya umma, tuliuza kipindi cha mkapa, yaliyotukuta ni siri yetu. Ninyi mna uzoefu mzuri na RVR yenu "Lunatic railway", vipi iliboreka baada ya kuibinafsisha?. Usinipe jibu.
 
Naona umemnyoosha huyo kijana wa ufipa barabara[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona umemnyoosha huyo kijana wa ufipa barabara[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Naona umemnyoosha huyo kijana wa ufipa barabara[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
I have nothing to add all left to me is to like
 
Hapa Kenya kwisha habari yake. Ila hadui mwombee njaa😂😂😊
Tatizo la Kenya kuna rushwa kubwa sana watu wamekwiba pesa mingi kutoka Government Coffers.....serekali imebaki haina kitu.....hatari sana
 
Wabongo wanafikiria Kenya is poorer like Tanzania, we are both poor but one is poorer; Bongolala.
Ww mpuuzi kweli kwa akili zako unafikiri Tz ni masikini???u must be joking....tatizo kubwa la Tz lilikuwa ni uongozi....u just sit down and watch....
 
Sio ujinga ni jambo zuri sema ni ufisadi tuu ulijaa
 
Nimeshapata wateja wawili wenye nia ya dhati kununua KPA! Wajameni tajeni bei! Mkikausha kesho naenda ubalozi wenu kuulizia, ikishindikana nakuja Nai kumuona Uhuru nitampelekea mzinga wa Konyagi tuyajenge.
 
Wataalamu wa uchumi imekaaje hii ikiwa JPM anakitaka kununua hayo makampuni kwa manufaa ya watanzania au Tanzania?...i.e if Tanzania buys those companies, hw is it economically?
 
Atauza mpaka ch.upi wasipiangalia ikawa balaa tena
 

Well and deep explained: Keep up!
 
They should not privatise National Bank of Kenya, Kenya pipeline and Kenya Ports Authority. These are important security assets for our economy. They are the foundation of our economy.
 
Wanafanya kosa kama la Mkapa ambalo hata yeye alikili kuwa alikosea kufanya hule uwamuzi. Kwa kuwa ni Kikuyu mwenzao kwao haina shida😂😂😂😂
Mimi naona ni makosa kubinafsisha port, pipeline na state bank pekee. Hizo zingine ni takataka na hazifanyi kazi. Zinatengeneza loss tu. Hapo kwenye list wamefanya upuzi wa hali ya juu kujumuisha kampuni muhimu kwa afya ya uchumi kwa mfano Kenya Port Authority, National Bank of Kenya na Kenya pipeline. Hizo zingine zilozosalia wanaeza uza kwa sababu yanatengeneza loss na pia sio muhimu kama zile ambazo nimezitaja hapo juu. Wangeita public participation sisi raia pia tutoe maoni, tusije tukalia hapo mbeleni
 
They should not privatise National Bank of Kenya, Kenya pipeline and Kenya Ports Authority. These are important security assets for our economy. They are the foundation of our economy.
😂😂😂😂😂 maji yamewafika shingoni ujanja mwingi kumbe ujinga tu
 
kulia mushaanza kulia pesa ya kutekeleza budget hamuna ukitoka nje madeni yako matakoni hakuna jinsi lazma muuze tu👏👏👏👏
 
Why are they making loses? That is the Question..Inparticular for example why are state owned sugar companies making loses? You know who imported 3 year worth of sugar to kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…