Serikali ya Kenya kuuza Makampuni 26 ya kiserikali ili kufidia sehemu ya Bajeti na kutekeleza miradi

Poor farmers. Ukiwa mwanabiashara lazima utachagua ni njia ipi au biashara ipi utaiangazia kwa umakini ili upate faida ya kutosha sio kushikilia kila biashara ili usifike huko nje eti biashara zote ni zako hata kama hazikuletei faida. Hata KPA wauze bora ufisadi upungue sanasana kwa management of these parastatals wanaokula profits na development funds. Ikiwa privatised mwenye kuinunua itabidi awe makini asije akatumbukia kwa madeni na hasara lakini kwa sababu Tz ni ya ujamaa mambo ya biashara kuyaelewa ni ngumu haswa mapimbi kama wewe.
Hahahahahaha tuulizeni sisi machungu ya kuuza hayo mashirika ya umma, tuliuza kipindi cha mkapa, yaliyotukuta ni siri yetu. Ninyi mna uzoefu mzuri na RVR yenu "Lunatic railway", vipi iliboreka baada ya kuibinafsisha?. Usinipe jibu.
 
Hujui kitu chochote huu ya utekelezaji wa bajeti ya nchi, bahati mbaya bungeni kumejaa vilaza kama wewe. Ngoja nikupe somo la bure, bajeti ya kipande cha SGR kati ya Dar-Moro ilitengwa katika budget ya 2015/16, lakini utekelezaji wake ulianza 2016/17, hii haina maana kwamba pesa hazikutolewa kipindi cha 2015/16, zilitolewa lakini utekelezaji huwa unaingia katika mwaka unaofuata wa budget, lakini hakuna mswada mpya unaletwa kuomba fedha upwa.
Naona umemnyoosha huyo kijana wa ufipa barabara[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwa taarifa yako hilo swala la Marekani lina lalamikiwa sana na wa Marekani wenyewe. Sio magereza tu bali hadi police na reserve bank ya marekani inamilikiwa na matajiri wa Israeli. Ndo maana pesa ya marekani inajina la Reserve Bank of America na sio Bank of America. Wao ndo hufanya printing and issuing of the currency on behalf of the government. In America kunakitu kinaitwa (cooperate companies) they are business catalies who own all that by making profit on tax payers money through the government of America. Saani ya chakula cha mfungwa marekani inakuwa charged juu alafu serikali inalipa na wao kutengeza faida. Wanapo kuwa na wafungwa wengi ndo utengeneza faida zaidi. Marekani inaongoza duniani kwa kuwa na wafungwa wengi. Hicho kitu wa Marekani wengi wanakipinga. Hawakitaki. Pale Wall Street New York skyscrapers nyingi niza hizo cooperates.
We as Africans should never be fooled with American way of doing things but only countries like China India or Vietnam. Kampuni kama Boeing inamilikiwa na serikali ya Marekani. Kampuni ya Airbus inamilikiwa na serikali ya France and Germany. Kuna mambo mengine lazima yafanywe nakusimamiwa na serikali. Kampuni nyingi kubwa za China zinamilikiwa na serikali ya China. Kwa China huko ndo almost all Mega companies are government owned. PPP are always after profit. They always want to benefit on tax payers money and sometimes they charge higher prices.

Hii yote world bank illidanganya nchi za kiafrika ili tusiweze piga atua. PPP hatotokea kuwa mkombozi wa kiuchumi barani Africa. I has failed and will keep on failling in Africa.
I have nothing to add all left to me is to like
 
Hapa Kenya kwisha habari yake. Ila hadui mwombee njaa😂😂😊
Tatizo la Kenya kuna rushwa kubwa sana watu wamekwiba pesa mingi kutoka Government Coffers.....serekali imebaki haina kitu.....hatari sana
 
Wabongo wanafikiria Kenya is poorer like Tanzania, we are both poor but one is poorer; Bongolala.
Ww mpuuzi kweli kwa akili zako unafikiri Tz ni masikini???u must be joking....tatizo kubwa la Tz lilikuwa ni uongozi....u just sit down and watch....
 
Hii ni hatari sana kwa nchi. Hili kosa pia Mkapa alilifanya na baadae alikili kuwa walikosea kwenye hilo swala. Being block does not mean you have to sell your assets. Mashirika walio olezesha ni nyeti sana. Hapo jua kuwa lazima watu wengi watapoteza ajira. Serikali ya Kenya ijitadhimini.
Sio ujinga ni jambo zuri sema ni ufisadi tuu ulijaa
 
Nimeshapata wateja wawili wenye nia ya dhati kununua KPA! Wajameni tajeni bei! Mkikausha kesho naenda ubalozi wenu kuulizia, ikishindikana nakuja Nai kumuona Uhuru nitampelekea mzinga wa Konyagi tuyajenge.
 
Wataalamu wa uchumi imekaaje hii ikiwa JPM anakitaka kununua hayo makampuni kwa manufaa ya watanzania au Tanzania?...i.e if Tanzania buys those companies, hw is it economically?
 
Usipanic kaka, kinachosemwa hapa ni ninyi kupanga bajeti kubwa kuliko uwezo wa kipato chenu. Sisi tunapanga bajeti yetu kutokana na uwezo WETU tulionae, sasa wewe unapanga kula kuku kila siku kwa pesa ya mkopo, utauza hadi Sox za VIATU usipokua makini.
Atauza mpaka ch.upi wasipiangalia ikawa balaa tena
 
Kwa taarifa yako hilo swala la Marekani lina lalamikiwa sana na wa Marekani wenyewe. Sio magereza tu bali hadi police na reserve bank ya marekani inamilikiwa na matajiri wa Israeli. Ndo maana pesa ya marekani inajina la Reserve Bank of America na sio Bank of America. Wao ndo hufanya printing and issuing of the currency on behalf of the government. In America kunakitu kinaitwa (cooperate companies) they are business catalies who own all that by making profit on tax payers money through the government of America. Saani ya chakula cha mfungwa marekani inakuwa charged juu alafu serikali inalipa na wao kutengeza faida. Wanapo kuwa na wafungwa wengi ndo utengeneza faida zaidi. Marekani inaongoza duniani kwa kuwa na wafungwa wengi. Hicho kitu wa Marekani wengi wanakipinga. Hawakitaki. Pale Wall Street New York skyscrapers nyingi niza hizo cooperates.
We as Africans should never be fooled with American way of doing things but only countries like China India or Vietnam. Kampuni kama Boeing inamilikiwa na serikali ya Marekani. Kampuni ya Airbus inamilikiwa na serikali ya France and Germany. Kuna mambo mengine lazima yafanywe nakusimamiwa na serikali. Kampuni nyingi kubwa za China zinamilikiwa na serikali ya China. Kwa China huko ndo almost all Mega companies are government owned. PPP are always after profit. They always want to benefit on tax payers money and sometimes they charge higher prices.

Hii yote world bank illidanganya nchi za kiafrika ili tusiweze piga atua. PPP hatotokea kuwa mkombozi wa kiuchumi barani Africa. I has failed and will keep on failling in Africa.

Well and deep explained: Keep up!
 
State to sell 26 companies to finance current budget

The Privatisation Commission has approved sale of 26 state-owned corporations to raise funds to support the budget.

The commission, under the Privatisation Act, 2005, was mandated to sell 26 poorly performing state corporations to cut down government spending.

Those approved for sale are National Bank of Kenya, Consolidated Bank of Kenya, Kenya Meat Commission, Development Bank of Kenya, East African Portland Cement, Kengen, Kenya Pipeline Corporation, Kenya Ports Authority, and five sugar millers — Chemilil, Sony, Nzoia, Miwani and Muhoroni.

Others are Agrochemical and Food Corporation, New Kenya Co-operative Creameries, Numerical Machining Complex and Isolated Power stations, hotels (Kabarnet Hotel, Mt Elgon Lodge Ltd, Golf Hotel Ltd, Sunset Hotel Ltd and Kenya Safari Lodges and Hotels Ltd).

Also targetted are Kenya Tourism Development Corporation-associated companies, which include International Hotels Kenya Ltd, Kenya Hotels Properties Ltd, Mountain Lodge Ltd and Ark Ltd.

The sale is also set to boost activity on the Nairobi Stock Exchange, as some are expected to float shares through initial public offerings once they are privatised.

Read: Painful budget cuts to reduce runaway spending

The plan has, however, been delayed over the years as a result of bureaucracy in approval of the transactions by the Executive and the proposed parastatal reforms.

The slow process has been pegged on initial freezing of the programme in 2013 and limiting implementation to only a few transactions in 2014.

Over the past 10 years, the commission has only managed to carry out one transaction, which was the sale of 26 per cent stake in Kenya Wine Agencies Ltd (KWAL) to South Africa’s Distell Group Ltd in 2014.

In 2017, Distell increased its shareholding in KWAL to 52.43 per cent after acquiring an additional 26.4 per cent stake from Centum Investments.

In the 2015-16 audit report on state firms, Auditor General Edward Ouko noted that at least 36 parastatals were insolvent, requiring a capital injection of Sh118.76 billion to prevent collapse.

He pinned the firms’ poor performance on uncollected debts running into billions of shillings dating back to the 1990s, unapproved increase in expenditure and double payment of debts owed to service providers.

The report showed that while some firms are still financially sound, there are several questionable dealings, coupled with huge losses, which could grow the list of insolvent corporations.

Currently, there are 262 state corporations and agencies but the government plans to reduce them to 187 by merging them to eliminate duplication.
They should not privatise National Bank of Kenya, Kenya pipeline and Kenya Ports Authority. These are important security assets for our economy. They are the foundation of our economy.
 
Wanafanya kosa kama la Mkapa ambalo hata yeye alikili kuwa alikosea kufanya hule uwamuzi. Kwa kuwa ni Kikuyu mwenzao kwao haina shida😂😂😂😂
Mimi naona ni makosa kubinafsisha port, pipeline na state bank pekee. Hizo zingine ni takataka na hazifanyi kazi. Zinatengeneza loss tu. Hapo kwenye list wamefanya upuzi wa hali ya juu kujumuisha kampuni muhimu kwa afya ya uchumi kwa mfano Kenya Port Authority, National Bank of Kenya na Kenya pipeline. Hizo zingine zilozosalia wanaeza uza kwa sababu yanatengeneza loss na pia sio muhimu kama zile ambazo nimezitaja hapo juu. Wangeita public participation sisi raia pia tutoe maoni, tusije tukalia hapo mbeleni
 
They should not privatise National Bank of Kenya, Kenya pipeline and Kenya Ports Authority. These are important security assets for our economy. They are the foundation of our economy.
😂😂😂😂😂 maji yamewafika shingoni ujanja mwingi kumbe ujinga tu
 
Mimi naona ni makosa kubinafsisha port, pipeline na state bank pekee. Hizo zingine ni takataka na hazifanyi kazi. Zinatengeneza loss tu. Hapo kwenye list wamefanya upuzi wa hali ya juu kujumuisha kampuni muhimu kwa afya ya uchumi kwa mfano Kenya Port Authority, National Bank of Kenya na Kenya pipeline. Hizo zingine zilozosalia wanaeza uza kwa sababu yanatengeneza loss na pia sio muhimu kama zile ambazo nimezitaja hapo juu. Wangeita public participation sisi raia pia tutoe maoni, tusije tukalia hapo mbeleni
kulia mushaanza kulia pesa ya kutekeleza budget hamuna ukitoka nje madeni yako matakoni hakuna jinsi lazma muuze tu👏👏👏👏
 
Mimi naona ni makosa kubinafsisha port, pipeline na state bank pekee. Hizo zingine ni takataka na hazifanyi kazi. Zinatengeneza loss tu. Hapo kwenye list wamefanya upuzi wa hali ya juu kujumuisha kampuni muhimu kwa afya ya uchumi kwa mfano Kenya Port Authority, National Bank of Kenya na Kenya pipeline. Hizo zingine zilozosalia wanaeza uza kwa sababu yanatengeneza loss na pia sio muhimu kama zile ambazo nimezitaja hapo juu. Wangeita public participation sisi raia pia tutoe maoni, tusije tukalia hapo mbeleni
Why are they making loses? That is the Question..Inparticular for example why are state owned sugar companies making loses? You know who imported 3 year worth of sugar to kenya
 
Back
Top Bottom