ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Kwa mishahara ya bongo nadhani kwetu atabaki mgsnga mkuu wa serikali na Kigwangala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itasaidia hao madaktari wa Tanzania ila nini itakuwa hatma ya madaktari wa Kenya?Ila hapa naona Tanzania wakifaidi sana iwe kwamba mpango huu utaendelea. Vipi madaktari watz wataajiriwa wote Kenya na Tanzania?? Naona hapa noma sana
Poa Edward WanjalaWakenya hatukuko hivyo, wewe uliona mfano kazi ya usimamizi wa KQ, Kazi ilitangazwa, watu toka hadi Marekani wakaaply, interview zikafanywa na mmoja sijui kutoka uswizi ndiye aliyepata hiyo kazi. Hujasikia wakenya wakisema aende ama hafai, sisi huchukulia competition kwa uzuri
Fanya utafiti ujue gharama za maisha za Kenya Tanzania, Kenya gharama za maisha zipo juu sana ukilinganisha na Tanzania.Kwa mishahara ya bongo nadhani kwetu atabaki mgsnga mkuu wa serikali na Kigwangala tu
Naona dalali za hospitali zetu hapa bongo kukaukiwa madokta. Ninaamini wengi sana wataondoka maana huku nahisi mshahara wao ni mdogo plus maudhi ya wakuu wa mikoa na wilaya ya kuwasweka ndani hata kwa mambo yasiyo ya msingi.
Hawa ma dokta wanaudhi sana.
Wanataka mshahara milion moja ya kenya yani dola elfu 10 ya marekani. Ha ha ha ha Wahuni kweli, yani kwa mwaka avute dola laki 120. Hayo madai wanayatoa wapi hawa ndugu zetu? Mshahara aliowapa Uhuru wa ongezeko la 50% is very reasonable.
The impact of income inequality..... class struggle..... guess who is next to go on endless strike...... teachers group.....Nchi ndio huwa inakufa taratibu. Hii ni kwa sababu ya tamaa za wachache. Ni lazima intelligent ya kenya ifanye kazi kwa nguvu.
What for? I know them they are my neighboursReally??care to give examples?
Kwanini waliwakubalia in the first place; halafu kwenye kutekeleza ikawa issue?Sina uhakika ila nahisi mgomo wa madaktari wenu unachochewa zaidi na akina Otieno, Ochieng na Onyango. Ongezeko la mshahara wanalotaka ni kubwa mno na hamna kiongozi yeyote ikiwemo Raila atayeweza kutimiza matakwa yao.
Dawa yao ni kuwanyang'anya leseni zao warudi kunyonya kwa mama zao.
Nadhani walikubaliwa na na serikali ya Mwai Kibaki sio Uhuru, ingekuwa inawezekana Mwai Kibaki angeongeza mwenyewe.Kwanini waliwakubalia in the first place; halafu kwenye kutekeleza ikawa issue?
Mbona Mp Na wabunge WA county wanapewa mshahara WA million Na zaidi Na wengine ata kidato cha nne bado hapa Kenya! Daktari shule ni miaka saba kuhitimu Na Anaokoa maisha naona ata kulipwa milioni ni kidogo. Na kama uchumi ni mbaya uwe mbaya kwa Kila mtu kuanzia uhuru kwenda kwa Hawa wezi wabunge.Hawa ma dokta wanaudhi sana.
Wanataka mshahara milion moja ya kenya yani dola elfu 10 ya marekani. Ha ha ha ha Wahuni kweli, yani kwa mwaka avute dola laki 120. Hayo madai wanayatoa wapi hawa ndugu zetu? Mshahara aliowapa Uhuru wa ongezeko la 50% is very reasonable.
Kwa uchumi wa nchi zetu, kukubali mshahara wa 1000$ a month kwa resident tu ni kukaribisha maafa, Engineers nao wangefuata kwa kutaka increment ya hatari. Na sidhani kama Uhuru anapenda Mpigs wanavyojilipa, sema akigusa mapato yao watampiga vita ambayo ataumia sana na yeye. Hii inshu ingetokea Tz ingekaa week moja tu, Magu angefungia mtu mahabusu au angeenda kumtoa meno kwa pliers na mgomo kuisha polepole.Mbona Mp Na wabunge WA county wanapewa mshahara WA million Na zaidi Na wengine ata kidato cha nne bado hapa Kenya! Daktari shule ni miaka saba kuhitimu Na Anaokoa maisha naona ata kulipwa milioni ni kidogo. Na kama uchumi ni mbaya uwe mbaya kwa Kila mtu kuanzia uhuru kwenda kwa Hawa wezi wabunge.
Sisi waafrika kila kitu huwa ni hujuma na upinzani tu hakuna njia nyingine ya kuweza kumaliza mzozo? Oky fine ni wapinzani wanachochea huo mzozo kamata viongozi wa NASA weka ndani sasa? Fikiria kwa makini kama serikali ilikuwa haiwezi kutoa pesa hiyo tangu Mzee Mwai wangejadiliana ilo huku bongo karibu mwezi wa 5 kuna uhaba wa madawa na vitenganishi KWENYE vituo na hospital nyingi sijui nani ameturoga sisi ngozi nyeusiNadhani walikubaliwa na na serikali ya Mwai Kibaki sio Uhuru, ingekuwa inawezekana Mwai Kibaki angeongeza mwenyewe.
Ongezeko hilo wanalotaka haliwezekani, bila shaka yoyote madaktari wanatumiwa na upinzani kuhujumu serikali.