Serikali ya Kenya yakabidhi rambirambi ya MV. Nyerere

Serikali ya Kenya yakabidhi rambirambi ya MV. Nyerere

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
October 8, 2018
Dar es Salaam, Tanzania

Serikali ya Kenya kupitia kwa balozi wake nchini Tanzania, Bw. Dan Kazungu imemkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli shilingi milioni 125/- (Kshs. Milioni 5.5) zikiwa ni rambirambi kutokana na ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyoua zaidi ya watu 200 kwenye Ziwa Viktoria.

Balozi Dan Kazungu amesema wananchi wa Kenya wapo pamoja na ndugu zao wa-Tanzania ktk kuomboleza mkasa huu wa ajali mbaya ya chombo cha majini /ferry.

October 8, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
By Amb. Hon Dan Kazungu:
This morning, I was honoured to lead the team at the Kenya High Commission, Dar to visit HE President @MagufuliJP of Tanzania to present the Govt of Kenya support for the victims of the recent MV Nyerere Ferry disaster on Lake Victoria where over 200 Tanzanians lost their lives.

The Govt of Kenya led by HE President
@UKenyatta through CS @ForeignOfficeKE
had pledged Kshs 5.5 Million (Tshs 125 Million) to go towards support of the survivors of the tragedy, upgrading the local Health Centre & construction of a Memorial Centre in remembrance of the victims.
Amb. Hon Dan Kazungu, EGH, EnP (@DanMKazungu) on Twitter
 
October 8, 2018
Dar es Salaam, Tanzania

Serikali ya Kenya kupitia kwa balozi wake nchini Tanzania, Bw. Dan Kazungu imemkabidhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli shilingi milioni 125/- (Kshs. Milioni 5.5) zikiwa ni rambirambi kutokana na ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyoua zaidi ya watu 200 kwenye Ziwa Viktoria.

Balozi Dan Kazungu amesema wananchi wa Kenya wapo pamoja na ndugu zao wa-Tanzania ktk kuomboleza mkasa huu wa ajali mbaya ya chombo cha majini /ferry.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunaielekeza kwenye Matengenezo ya kivuko kipya na ile Hospital ya watu wa Ukara
 
Ni uwivu mingi inawasumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walitucheka watu wakikufa Nakuru Dam tragedy na sisi tunawatumia rambi rambi. Now who is more mature!??
Upuzi tu, Nakuru dam tragedy not even 1 coin from kenya's best friend the Mzungu.
USA 0
UK 0
FR 0
hata waganda na wa south sudan hamna aliye peana chochote. Uhuru hutumia njia za kijinga kujipendekeza kwa nchi zingine..Anafikiri hii ndio diplomasia hodari kumbe zero brain
 
Shida iko wapi. Hio pesa itasaidia waathiriwa
 
Hakuna kitu cha kushangaza hapa kuona ndugu mkubwa akimsaidia ndugu mdogo kujikwamua kwani hio ndio kazi ya ndugu mkubwa.
Watu wakishakufa ukatoa hela unakwamua nini? Fedha zinatuhitaji tukiwa hai, mgezitoa kabla ya maafa pengine zingewanunulia life jackets za kutosha wakaokoka. Hypocrisy of the highest standards can easily be seen after deaths. .....
 
How can a donor country receive donations from kibera which you always snub here? I thought you have everything. Kenya ndio kusema hapa E.A Mpende msipende
 
Back
Top Bottom