Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Eti ng'ombe wa gavana sharobaro Mike Sonko ndo walikamatwa? Mike Sonko si mmaasai wala sidhani hata awe ni mkulima atawalisha ng'ombe wa kuhamahama. Watz na habari za uongo na kitoto ni kama tu nane na tisa zinaandamana pua kwa mkia.
 
Eti ng'ombe wa gavana sharobaro Mike Sonko ndo walikamatwa? Mike Sonko si mmaasai wala sidhani hata awe ni mkulima atawalisha ng'ombe wa kuhamahama. Watz na habari za uongo na kitoto ni kama tu nane na tisa zinaandamana pua kwa mkia.
Zile ng'ombe serikali yenu yenye utu ilizozipiga risasi itazifidia lini?
 
Tumia akili kidogo basi...
 
Nani aliemuanza mwenzake???
Mbona mnaangalia upande mmoja???
Hadi serikali kisema mifugo yetu iwekewe alama je mnalifahamu hilo???
Acheni uchochezi wakitoto
Akimwaga ugali tutamwaga mboga,,,
Tena wasitujaribu waendelee kupambana na machafuko yao
Sisi tunakula na kustarehhh kwa amani nchini kwetu
 
Unafiki tu, nilikuwa naangalia K24 nikaona wafugaji wanalalamika kwamba baadhi ya askari na wakulima ndani ya kenya wamewauwa ng'ombe wao, hivyo walikuwa wanaomba serikali iingilie kati. Naomba kuuliza Je na hao wamefidiwa? au la?
 
Kuna klip kikwete alizungumzia hili jambo alipoenda kuaga bunge la Kenya
 
Kuna kitu kinaitwa *ujirani mwema*
If you need equity do equity ni majuzi tuu walikwenda mitaani na kuwakamata omba omba na kuwaweka korokoroni yap! ni sheria zao mbaya zaidi walisingizia ni Wabungo hakuna ushahidi kama ni kweli hawakujua kuna huo ujirani mwema? hapa ni mbyai mbyai tuu?
 

I seconded.
Tanzania tumejengwa katika misingi ya UTU na si VITU.
ndiyo maana wengi huku kwetu wanajiita masikini jeuri. huwezi kumnyanyasa kwa sababu eti una hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…