Tetesi: Serikali ya Kenya yawafidia wafugaji walioporwa mifugo yao na serikali ya Tanzania .

Soko kubwa LA bidhaa za Kenya liko Tanzania hivyo Kenya inaitegemea sana Tanzania kiuchumi
Kwa taarifa yako Tanzania ndio inategemea bidhaa kutoka Kenya kutokana na umasikini wake .
 
Kwa taarifa yako Tanzania ndio inategemea bidhaa kutoka Kenya kutokana na umasikini wake .
Pesa ya mauzo ya hizo bidhaa huwa inaingia Kenya au Tanzania? Kwani hizo bidhaa huwa wanaleta kama sadaka au donation?
 
Eti ng'ombe wa gavana sharobaro Mike Sonko ndo walikamatwa? Mike Sonko si mmaasai
una akili finyu ngombe hazifugwi na Masai tu hata wahindi na wazungu wanafuga.Wafugaji ni makabila yote na race zote MTU ni kuamua tu kuwa mfugaji huyo Gavana Mike sonko ni mfugaji pia ana mifugo kibao kajiado ilipokosa malisho kwa ukame gavana wa kajiado ole lenku ambaye ni gavana Masai wa jimbo LA kajiado linalopakana na Tanzania ndio akamshauri wahamishie ngombe zao Tanzania sababu waliona ndiko kama shamba LA bibi .wakakuta enzi zimebadilika zikadakwa ngombe zao ndio ukamsikia gavana wa kajiado akimpromoshea kwa hadira matusi raisi magufuli baada ya ngombe zake kupigwa mnada Tanzania
 
YEHODAYA Akili finyu ni zako unaebisha nikisema ngombe hao si wa Mike Sonko. Eti kwa sababu tu chizi flani alicomment akasema ng'ombe hao ni wa Mike Ole Sonko. Maandas kabisa wewe!
 
Wewe ni lipumbavuuuu!!
 
Point of correction: Ng'ombe
 
Mkenya wa vifaranga anafidiwa nini wakati alishauza akatia pesa mfukoni
 
Mkenya wa vifaranga anafidiwa nini wakati alishauza akatia pesa mfukoni
Kaulize kwa nini wazirri wa mambo ya nje na media za Kenya zinakomaa kuwa vifaranga vya mkenya vimechomwa wanataka maelezo kwa balozi wa Tanzania wakati ownership ilishachange vifaranga sio vyao kisheria
 
Kaulize kwa nini wazirri wa mambo ya nje na media za Kenya zinakomaa kuwa vifaranga vya mkenya vimechomwa wanataka maelezo kwa balozi wa Tanzania wakati ownership ilishachange vifaranga sio vyao kisheria
Biashara yao. That's all
 
hahahahaha waendelee kuwafidia lakini wawafundishe kuheshimu mipaka na sheria za nchi nyingine...............
We umezaliwa na kukaa dar mambo ya mipaka na ujirani mwema utayajulia wapi.Mbona sisi mifugo yetu mingi tu inslisha kwao miaka na miaka na hawana shida nasi sababu wanajua majira yanazunguka kukiwa na ukame huku kwingine neema. Sio kila kitu Sheria vingine ni busara unaangalia je nini matokeo,sio kila kitu kukurupuka tu.Wafugaji wanalishiana enzi na enzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…