Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Utawala wa Iran unaongozwa na serikali ya kiislamu ya Ayatollah Ali Khamenei uliza zaidi ya waandamanaji 32,000 huko Iran. Umoja wa Mataifa mashirika ya kutetea haki za Binadamu na assailant za Serikali wote wako kimya hapo ndipo utaiona UNAFIKIRI wa walimwengu!!
View: https://x.com/vividprowess/status/2024974846522773552?s=61
View: https://x.com/vividprowess/status/2024974846522773552?s=61