ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 545
- 1,179
Kuna wimbi kubwa la wamama wanakuja mjini kuomba wakiwa na nguvu zao wala si wahitaji kwa maana wana uwezo kufanya kazi haya maeneo niliyotaja wamefanya kama vijiwe vyao yaaani wanasumbua sana Wageni na sio tu kuomba wanapora kabisa wanakuwa na watoto wadogo yaaninwamama wazima wana maisha yao mtaani kwao uko wanaaga wanakuja mjini kazini jioni wakiwa wanaondoka huwezi juwa kwa jinsi walivyo van tunaomba serikali ya mtaa na mkoa waangalie hili ni kero kubwa na aibu.