Jana niliwaona Kindondoni Jopo la Wamama Ombaomba Wakiwa na Mwandamizi Wao, Wapo kama 25. Hivi na nauli ya daladala wana panga wao.. Mwandamizi wao alikuwa anaomba kwa Konda walipe 300/ kila mmoja badala ya nauli husika..
Kumbe kila Ijumaa ndiyo ratiba yao kuelekea njia ya Kawawa.. Nili choshangaa wana matako makubwa tena bado haya jasinyaa.. wame yaficha na madera waliyovaa... Na mitandio na ni wazima wa afya..Ndiyo maana wengi wao wana watoto wadogo maana bado wana mvuto na kuna wadau wanawarukia...