nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?