Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

Saa 10 imeshapita, haya lipa faini sasa. Mpaka unaitwa ofisi ya mtendaji inamaana umeshindikana, jamii ya watu wastaarabu wanajua usafi ni nini? Ufanye nini? Na kwa namna gani? Na kwa faida ya nani? KUTUNZA MAZINGIRA
 
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa

Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,

tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Kwa hiyo humu unataka msaada gani?
 
Pole mkuu kwenye kipengele cha mikataba yako weka kipengele cha wapangaji kufanya usafi kwenye eneo lake.
Mimi nilishapata kesi kama hiyo ya wapangaji kutokufanya usafi ikiwemo kufyeka majani jamaa wa ofisi ya kata wakanifata nikafanya kuwapa nakala za mikataba jamaa wakaenda pale wakakamata wake zao jamaa jamaa wakapata akali tokea hapo wanafanya usafi wenyewe bila kushurutishwa.
Uzuri wa hapo kwa wapangaji wangu mimi sikai hapo sasa how comes nikawafanyie usafi kama ni kung'atwa na nyoka si watang'atwa wao kama ni magonjwa si wataumwa hao wanaoishi hapo.
Weka kipengele kwenye mikataba kwamba wao watahusika na kufanya usafi wasipofanya wao ndio wawajibishwe
 
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa

Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,

tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini? Tukulipie? Mnafunga mlango, serikali ya mtaa haikimbiwi!
 
Kama nyumba ni yako na unaishi na wapangaji basi mpangiane zamu za usafi. Asie na muda alipe hela mamsapu amfanyie.

Ila inafikirisha kidogo kuishi nyumba yenye uchafu, tena sio ya kupanga ni yako kabisa, na huishi peke yako unaishi na mkeo alooo wewe na mkeo ni pipa na mfuniko.
 
Acha kiburi kijana, nyumba ni yakwako/kwenu na usafi ni kwa manufaa yako na jamii inayo kuzunguka
 
Upewe onyo wewe huoni uchafu? Ni mtoto wewe, ungekuwa na akili ungemwambia mkeo atafute mtu afyeke hizo nyasi kisha ndio ungeenda kujitetea..!!
 
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa

Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,

tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Kuwa mjanja, Kikao gani au mkutano upi ulikuwa na maadhimio hayo . We wawahi nenda kule kitengo waambie wakupe hela zao coz kuna Mtendaji anaomba rushwa aisee wale jamaa wanalia nao si mchezo zile maana najua hawatoi listi waachie msala huko ile kwao maana awajui hata namna ya kula pesa za wananchi hao
 
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa

Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,

tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Hama huo mtaa hamia Burundi
 
Napenda sana battle kama hizo kupelekana mputa na the said mamlaka , ni sawa na mtu atamke asubuhi aweke bango uki pita apa fine elfu 50 hao tuta pelekana mpaka mwisho
 
Ukitaka kuwaweza waambie wakuandikie hukumu na kukupa receipt, hutawasikia Tena kamwe
 
Wakati wanafanya usafi wenzako wewe ulikuwa online nipo online lipa tu hiyo hela usipingane na mamlaka. Kama huna mwambie mke wako afunge nyumba aje kwangu nimuhifadhi japo kwa wiki moja.
Kwahiyo umeamua kutafuta mtoto Kwa mke WA mtu sababu Yule binti katoa mbegu zako nje.Acha ufala nenda Kwa binti yako mzuri unayetaka akuzalie.

Au nipe namba Yake nikusaidie.
 
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa

Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,

tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Onyo la nini na mnatuga na kuzalisha mbu! Wabane wapangaji mlipe ili mlime...
Nyumba ya urithi si kigezo.
 
Pole sana Mkuu, ongea nao vizuri ili hela iongezeke,
Kwa Arusha mbona hawakati miti kama hiyo
 
Back
Top Bottom