nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #21
Sasa sina pesa mkuuYaani wife aingie mitini shauri ya 50? Weka bond hicho kimeo usijesababisha wajuba wakapita na my wife wako.
Sasa sina pesa mkuuYaani wife aingie mitini shauri ya 50? Weka bond hicho kimeo usijesababisha wajuba wakapita na my wife wako.
Maeneo gani hayona ni wabishi sana mkuu
Usafi ni ustaarabu wa Maisha, umekushinda wewe basi waelimishe wapangaji wako....
Alafu kesi ikiisha wafukuze usiendelee kuwa karibu na watu wasio wastaarabu na wachafu
mikataba yao haijaisha, naomba solution la hii pesa mkuu nadaiwa 50kMaeneo gani hayo
Mkuu watimue tu wape notice
Ova
Kwa sasa sina na sijui napata wapiIpo siku utapigwa faini ya kuwa na vyoo vichafu.
Lipa hiyo pesa haraka sana aisee.
akome bibi yakoNdo mkome na uchafu wenu
huku nimefuata ushauri mkuuKumbe ni wewe ? Nimekuona hapa halmashauri cha kufanya hapo ni ulipe hiyo faini JF haitasaidia sana.
haisaidiiPole
haisaidii
muda utakua umeisha mkuu nimeambiwa mwisho sa 10 jioniNenda kafyeke na kufanya usafi kupoteza ushahidi wa hiyo kesi halafu urudi uwaulize kosa lako
Waambie mkamalizane mahakamani uonyeshe hapo kwenye mkataba ulipoandika mpangaji atahusika na usafi wa kufyeka nyasi kuzunguka ntumba...wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
wabishi sana mkuu hawasikiiWaambie mkamalizane mahakamani uonyeshe hapo kwenye mkataba ulipoandika mpangaji atahusika na usafi wa kufyeka nyasi kuzunguka ntumba...
Tena wakuongezewakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Wabane hao hao wapangaji wao ndy waitoemikataba yao haijaisha, naomba solution la hii pesa mkuu nadaiwa 50k
Wewe ndo uwe mbishi...wabishi sana mkuu hawasikii
Leo tutagombana sana mkuu na wapangaji sababu ni wabishi kulipa pesa hatarinikushauri...........
Je,kuna mkataba wa upangishaji unaoeleza masharti ya nyumba hio,je unapatikana?,Ikiwa mkataba upo, tafadhali hakikisha unajumuisha kipengele cha usafi wa majani na maeneo ya nyumba ambayo wapangaji wanapaswa kuyahudumia. Kipengele hiki ni muhimu ili kuepuka matatizo ya usafi yanayoweza kuathiri mazingira na kuleta malalamiko kutoka kwa mamlaka za manispaa.
KAMA IPO ... FANYA HIVII...
Ikiwa wapangaji Hawataki kutekeleza wajibu wao wa usafi, hakikisha unatoa notisi rasmi ya kuondoka kulingana na masharti ya mkataba na sheria za manispaa. kuhusu usafi, vinginevyo kosa ni lako huwajibiki kutunza mazingira lipa hio pesa ,ongeza sheria hio ya usafi kwenye mikataba yao ya pango
mshindwe kufyeka majani mnakuja kulalamika hapa 50k,. Haya em nipe namba ya mke wako nimwekee hiyo hela halafu nimfundishe na usafi kama yeye hawezi aajiri mtu nitakua nawalipia🚮🚮akome bibi yako