nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Mkuu sina ela mshahara hujatoka kazini kwanguWakati wanafanya usafi wenzako wewe ulikuwa online nipo online lipa tu hiyo hela usipingane na mamlaka.
mku ndogo ukiwa nayo sina hata bukuPesa ndogo sana hiyo mkuu toa tu
Pole mkuumku ndogo ukiwa nayo sina hata buku
Yaani wife aingie mitini shauri ya 50? Weka bond hicho kimeo usijesababisha wajuba wakapita na my wife wako.wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
Ndio Watanzania tulivyo Sheria ikifuatwa tunalalamika hapo angekuomba hata elfu 15 mkayamaliza ungekuja kuandika hapa Viongozi sijui Polisi wana njaa yani sijui tukoje sisiwakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa
Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa, namwambia wapangaji tulipe wamegoma kulipa wanadai huo ni mzigo wangu,
tupo hapa manispaa ya nyanda za juu kusini, nimeKasirika sana wanasema adi sa 10 awe amepeleka ikifika kesho inaongezeka, nimemshauri afunge mlango atoke nyumbani ili watendaji wakienda wasimkute
Kwanini wasinipe onyo kwanza wanatangulia faini?
watahama mkuuHAo wapangaji dawa yao ongeza kodi kidogo.
Kama walikuwa wanalipa 30K kwa mwezi weka 35K.
Hiyo 5K itacover maswala ya usafi.
SawaSafi sana 😂
na ni wabishi sana mkuuWapangaji wako inaelekea ni wavivu
Ova