Serikali ya mtaa imenilima faini ya elf 50, kisa sijafanya usafi

Tupo nawewe mpaka wakuue mkuu🤣
 
Sema inaonekana we miyeyusho Sana kwaiyo kama nyumba ya urithi ndo hufyeki😅😅
 
Mtoto wa kiume unashindwa shika jembe ukalima nyasi mkeo akawa anazoa mpaka mpelekwe kushtakiwa? Mie mbona hainiingii akilini kisingizio chako huna hela Sasa Kwan ni sh ngap mbona ni tupesa tudogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…