Ni siasa ni zaidi ya hapo na bahati ni sehemu ya siasa.Duh !! Nilisikia kwamba katika siasa haijalishi wewe uko smart kiakili kiasi gani au unajua kuongea kiasi gani hivyo vigezo haviwezi kukusaidia chochote!! Kinachotakiwa kwenye siasa ni kuwa na bahati tu ndio kitu muhimu !! Je ni kweli ??!
Ukishangaa kwanini Lukuvi kaondolewa. Shangaa pia kwanini Godwin Mollel yupo kwenye Wizara lakini Ndugulile hayupo.William Lukuvi aliimudu sana hii wizara,sikuona ni kwanini aliondoshwa.
Na kuwatembelea masangoma mara kwa mara au siyo ?Ni siasa ni zaidi ya hapo na bahati ni sehemu ya siasa.
Amekuwa kwenye uongozi tangu enzi za Nyerere, amepewa muda wa kupumzika. Amepiga vya kutosha. Siku za mwisho alionyesha kuchoka kabisa. He needs physical, mental, and psychological rest. You can see fatigue on his face. He is really tired!Kabisa mkuu na katika mawazuri waliofanya vizuri ni huyi
Hiyo ni kweli kabisa. Ndiyo maana maraisi wengi siyo from the best brains/high IQ. Siasa ni ujanja ujanja.Duh !! Nilisikia kwamba katika siasa haijalishi wewe uko smart kiakili kiasi gani au unajua kuongea kiasi gani hivyo vigezo haviwezi kukusaidia chochote!! Kinachotakiwa kwenye siasa ni kuwa na bahati tu ndio kitu muhimu !! Je ni kweli ??!
Hiyo idara ilishshakuwa saccos ni bora wakaibinafsisha tukajua moja, wahusika wanakula mishahara ya bure hakuna wanachofanya zaidi ni kuongeza migogoro katka jamii.Hiyo Hela yote ya Nini wakati mjini tunapimiwa viwanja Kwa hela
Kazi Kweli Kweli !Hiyo ni kweli kabisa. Ndiyo maana maraisi wengi siyo from the best brains/high IQ. Siasa ni ujanja ujanja.