Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

Yote hayo aliweza kuyafanya huku aliimba yeye ni rais wa wanyonge!

Na kuna watu hadi sasa wanamsifu juu ya maneno hayo, hata kama vitendo vilikuwa zero!
 
Hapa hakuna kunyonywa lipa kodi kwa maendeleo ya nchi. Kodi siyo kwa matajiri tu.
 
Wananchi wanalia huku Kisesa Mwanza hawaunganishiwi umeme , maji hamna na Hakuna muendelezo wa Kisesa kuwa wilay mpya
 

Wacha hizo
Wakulima walipata bei nzuri
Wauza midosho walidosheka
Wafanyabishara wakajiteka
Wastaatfu wamejengewa nyumba na magari mapya yenye maua
Walimu wapo watakuwepo
Wafanyakazi wa Kuuma hao, wanajilipa mkutano, kwa vile walihudhuria mkutano, halafu wakajilipa kupata Taarifa ya mkutano waliohudhuria, na kujilipa kuwasilisha yaliyojiri mkutanoni, kama sio wauma wafanyakazi sijui niwaitaje?
Wacha hizo
 
Tuendlee kumtetea.....ila tusije onekana sasa tunamfanya yeye kilaza.
 
Hatatewi mtu hapa , tunamwambia ccm ni janga la kitaifa, mwenyewe,SSH rais wenda anaona vyema tu, CCM inaalibu vipaji VYA watu cheki soon wamemwingilia bahada ya siku mia , angalia utapata majibu
Tuendlee kumtetea.....ila tusije onekana sasa tunamfanya yeye kilaza.
 
Katiba mpya iondee ubunge wa viti maalum, ipunguze utitiri wa viongozi ambao wanategemea kodi za wananchi kuishi.
Kwamba katiba mpya itakuwa inawalipia Kodi watanzania, Basi tuongeze speed yakuidai hiyo katiba

Nyie watu sijui humo kwa mabichwa yenu Kuna maziwa mgando au ubongo?
 
Hivi zile Noah tuliambiwa kila mtanzania atakuwa nayo zilitokana na nini!
 
Mimi katika kipindi chake nilifurahi kwa kuwa wote tulilipa kodi. Miaka ya nyuma HSC walitunyanyasa sana sisi tuliokuwa tunalipa kodi kwa usahihi. Mpaka kufikia hatua wao kuwa mawakala. Hilo sitopenda lirudi. Mimi kipindi cha Magufuli Biashara zangu zimeenda vizuri. Nmefurahia kulipa kodi na nikiona inavyotumika.
 
Kwikwikwikwi
 
 

Attachments

  • IMG_0470.MP4
    13 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…