Kuli Msomi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 266
- 625
Hatukutakiwa kulipa kwa sababu walipodaiwa watoe risiti waliwatishia watoto kuwafukuza kwa sababu zingine wanazozijua; hizo pesa walitafuna isivyo halali maana mwongozo wa kutolipa ada ulitolewa tangu Januari 2021sio kweli mwaka jana tumelipa ada ya mtihani
Paskali yuko sahihi. Hoja siyo kushindwa kulipa Elfu 50, maana kabla haijafutwa, hakuna Wanafunzi waliozuiwa kufanya Mitihani kwa kushindwa kulipa hiyo Ada.Mwanao kafaulu vizuri. Tukampangia akasome bure shule ya serikali. Wewe kwa kuwa una kiburi cha Pesa, unampeleka Feza Boys au Marian's Girls....
Unashindwaje kulipa ada ya 50K?
Hata mwaka huu tumeshalipasio kweli mwaka jana tumelipa ada ya mtihani
Kidato cha sita nimewalipia vijana 6 shule za katalevel gani?? kama ni form four umeibiwa nenda kadai hela hayo, form four toka 2016 hamna ada za mtihani wa taifa
Mwanao kafaulu vizuri. Tukampangia akasome bure shule ya serikali. Wewe kwa kuwa una kiburi cha Pesa, unampeleka Feza Boys au Marian's Girls....
Unashindwaje kulipa ada ya 50K?
Mwaka juzi na kwani walilipia hiyo ada?Kila mtahiniwa wa kidato cha nne na sita alitakiwa kulipa ada ya mtihani TZS 50,000. Baada ya kufuta ada na michango isiyo muhimu, Serikali imefuta ada ya mtihani kwa shule za Serikali ikiwa ni sehemu ya azma ya Mhe. Rais Samia Suluhu kuifanya elimu kuwa nafuu.
View attachment 2357942