Hivi hata kujiuzuru hadi leo hayuko hata mmoja hawako tayari ama ndo nini hiki? Alafu huo uchunguzi unaosemwa ufanywe unaanza lini ama ni hadi zipite siku ngapi na nani anatakiwa kuanzisha huo uchunguzi?
Haya ni maswali ambayo sahivi najiuliza na sielewi majibu yake yakoje pengine wajuaji tupeni majibu ya hayo maswali hapo juu kwasababu kinachoonekana sasa mambo yanazidi kwenda na wanaotuhumiwa ndo kwanza wala hawana habari, ni kana kwamba hayupo mwenye macho wala masikioni miongoni mwao huku haki za watu zikizidi kupotea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.