PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hilo yai alilotema hapo msukuma na nzi wa kijani wataomba watasfiri kwanza kabla hawajaenda kuropoka.

Safari hii mumiani wanapigwa kotekote nje na ndani.

Kete zinasukumwa kwa utulivu sn nyani lazima ateme bungo.
 
Safi sana, tunataka Mama ajiuzuru.....wananchi tushamchoka kwa kweli.
 


Usiwe mwendawazimu. usimwunganishe Mungu na shetani muuaji aliyeunda na kumiliki kimundi cha kutesa, kuteka na kuwaua Watanganyika. Mungu siyo mtani wako, angalia usije ukapokea laana na kizazi chako chote.

Mungu wetu ni Mungu wa haki, nao watafutao haki wana baraka zake. Ninyi mlioungana na shetani kudhulumu haki za watu, kuwatesa, kuwatia ulemavu, kuwateka, kuwapoteza na kuwaua binadamu wenzenu, ujira wenu upo nyumbani kwa shetani. Na kamwe shetani hataweza kumshinda Mungu.
 
Mama yake mzungu pia,
Swadakta kabisa, ila zile brains za shangazi na looks zake zina traces kali za legendary profesa Sarungi kabisa.

Kiufupi Profesa pale hajabambikiziwa mtoto hata kidogo, pale kapiga carbon copy!.

Kwa hiyo leo legacy ya Profesa kupitia kwa shangazi ibaendelea kushine duniani na kumulika manyang'au, matekaji na machinja watu yanayovaa suti.
 
Vikundi vya mauwaji toka zanzibari chini ya polisi awadhi vimepewa pesa nyingi kuendesha utekaji huku bara, mama on top
Hili ndio kusudio lenu hamumpendi Mama kutokana ni Mzanzibar hakuna jengine
 
Mimi na shanga sana hawa wanaotetea human rights, sana ni wanafiki tu na wala sisemi kama hawako sahihi ila ni wanafiki tu, mbona Gaza yanafanyika zaidi ya haya na hawasemi, nchi ngapi za Magharibi hazina iyo democracy mbona hawasemi
Lkn pia si sahihi tukaishi kama wanyama, kutekana na kupotezana wakti ipo mifumo tuliyokubaliana kuadhibiana na kutendeana haki, ni kukosa ustaarabu.
 
Nakusamehe sababu hujui ulisemalo kutokana na fadhaa uliyonayo ya mwenendo usioeleweka wa tone tone na kushindwa kwa uhaini wa lissu.
 
Rais wako mwenyewe uwezo mdogo kazidiwa na Maria mara 100!
 
Kumbe yupo vyema kihivyo aisee kwanini Huyu asiwe rais wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…