Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,400
- 2,736
Vitisho vya wajinga kama haviitishi Tanzania kamwe tafuteni njia nyingine ya kuingia madarakani
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Maria chadema, maria haoneshi mapungufu Ili yafanyiwe kazi,ni hataki serikali iliyopo, anataka nyingine ambayo hana uhakika wa mwenendo wakeSitopenda kutumia lugha kali au ya kukwaza ili nikujibu...
Sio kila mpenda haki na mkemea maovu anatamani kukaa serikalini, Hapana ila tuu kuonyesha wapi kwenye mapungufu pafanyiwe kazi.
Tukisema wote tunaochukizwa na uvunjifu wa hai tukae serikalini Patatosha?
NB: SIO KILA MWANAHARAKATI NI CHADEMA AU ANAICHUKIA SERIKALI BALI NI MZALENDO NA ANAIPENDA NCHI YAKE.
Unafikiri bungeni unaenda tu!?Huyo angekua anataka uchawa saa hii angekua bungeni ila amechagua Haki ambayo masisiemu hawataki kusikia
Ford foundation wanampaAnataka ajira , mpeni ajira
Madudu gani?Pumbavu. Kwahio kumbe madudu yenu na uchafu wenu hua mnaficha kwa kuwapa watu teuzi na nafasi za kula pesa za umma?
Mungu hataki damu ya mtu yoyote ipotee!Usiwe mwendawazimu. usimwunganishe Mungu na shetani muuaji aliyeunda na kumiliki kimundi cha kutesa, kuteka na kuwaua Watanganyika. Mungu siyo mtani wako, angalia usije ukapokea laana na kizazi chako chote.
Mungu wetu ni Mungu wa haki, nao watafutao haki wana baraka zake. Ninyi mlioungana na shetani kudhulumu haki za watu, kuwatesa, kuwatia ulemavu, kuwateka, kuwapoteza na kuwaua binadamu wenzenu, ujira wenu upo nyumbani kwa shetani. Na kamwe shetani hataweza kumshinda Mungu.
Dr fake na ujinga wako!Nakusamehe sababu hujui ulisemalo kutokana na fadhaa uliyonayo ya mwenendo usioeleweka wa tone tone na kushindwa kwa uhaini wa chiba lissu.
Hatari Kweli
Mungu anawaona na ataingilia kati,moto ulao!Trust me!
Umeongea kishujaa na vema!Pana kitu inaitwa nature instinct yaani nguvu ya ndani Pana watu wapo hivyo wapo tayari kufa kutetea wengine.
We ukiogopa kifo kwao kifo ni njia au daraja kuelekea dimensions ingine tu.
Mfano mtu kama T Lisu Kwan ccm wanashindwa kumpa bilioni zozote atakazo ili asiwasumbue mezani.
Hawa watu kwao pesa fedha utajiri havina thamani thamani kwao ni kuona haki inatendeka.
Ndo kina Mandela,Che Guevara, Lumumba,Traore yaani huwezi wabadailisha.
Wanaitwa God messenger wapo dunia nzima hawanunuliki na pesa
Uchungu lazima uende na ukali, hasira,muhemko nk!Maria hakwenda pale kulegeza sauti, Sauti anailegeza kwa mumewe tu.
Kaenda pale kuihabarisha dunia juu ya utekaji na uuaji unaofanyika bongo
Maria amejitahidi "kuichafua" Serikali bila kuichafua nchi. Amewakaribisha wageni waje kututembelea lakini wakitaka kutoa msaada watafute namna ya kuufikisha moja kwa moja kwa walengwa!Nyie binadamu mnatema big G Kwa karanga za kuonja?
Yaani mpo tayari kuitoa sadaka nchi ku fullfil your ego?
Acheni hiyo michezo ya kuchafua nchi yetu, turuduni Kwa pamoja kukataa wote ambao wanafanya ndivyo sivyo
Ujumbe lazima, kwa sauti ya radi au kutetemeka!Uchungu lazima uende na ukali, hasira,muhemko nk!
Huwezi UKAWA smart halafu UKAWA chawaHuwa nawaambia watu mara kwa mara, nchi kwa mfumo wake mbovu, kuna watu sahihi sana walio nje ya mfumo na kuna watu ******* mnooo yan wapumbavu kupindukia ndio wamejaa kwenye nafasi nyeti za uongozi na vyeo, kuanzia serikalin mpaka sekta binafsi. Unatazamaa bunge ,unonaona kabisa 95% mi mafala flan ambao kiukwel hawana sifa hata 1 ya kuwa mahala patakatifu panapotunga sheria za nchi hii. Sifa kuu yao ni 1 na inawafanana woote, UJINGA ambao uko sugad coated n KUONGEA ONGEA SANAAAAA
Nashauri Maria asubiri Kwanza Reforms zifanyike ndio afikirie kuwa part of the government kama ulivyoshauri, vinginevyo kwa hali ilivyo sasa nae kuna siku atatengenezewa presentation kama hiyo hiyo!Maria ameongea vizuri sana ila kitu kimoja alichokosea mno ni kuongea kwa sauti (voice, tone) ya hasira, chuki, ghadhabu, kisasi, mashtaka na dukuduku, hiyo staili hufanya anaekusikiliza hasa wazungu kuelewa kwamba you have an inside agenda beside giving out information about what has happened. She needs to learn public speaking skills and become the best politician in the future. I believe she can make a better person to fight the system from inside and not from outside, huko nje anapoteza nguvu nyingi mno and nobody listens, she needs to be part of the government now so that Tanzania can benefit from her courage, confidence, knowledge and patriotism.
My take: next time someone should teach Maria how to speak in big conferences without attaching her emotions and grievances to the tone, the best teacher for her for me is Mbowe, yaani unaweza kumkaba Mbowe shingo na ataongea kwa staha points kali na utamuachia tu.
Huyu Maria ni hazina ya taifa , japo anatakiwa kuanza haraka masomo ya anger management. Maria Sasa ameiva na anafaa kuingia ndani akapambane na ufisadi wa pesa za kujenga madaraja na shule, huyu inafaa aanze na ukuu wa wilaya kwanza, kuna mambo huwezi kujua kwanini yapo hivyo hadi uingie ndani, mfano unaweza kuona baba yako hapigi pamba kumbe hela yake ya kupiga pamba ndo wewe unakula na kulipiwa ada,
Mama Sa100 naomba huyu Binti umpe japo ukuu wa wilaya au mwenyekiti wa kamati mpya ya kuhakikisha ujenzi wa reli ya SGR unakwenda kwa kasi na kumalizika kabla ya muda maana uchumi utapaa tukibeba mizigo ya nchi jirani na kubeba abiria na tozo zishuke tumechoka na reli ikifika Mwanza na Kigoma tutaanza utalii mpya wa kupokea Waafrika wanaokuja tz kushangaa SGR ndefu zaidi Africa , washamba watakuja kibao kwa makundi kila siku!! Mama Samia huu mradi wa SGR ndio legacy yako pekee tafadhali naomba mengine achana nayo watafanya wengine.
Binti akiwa Mkuu wa wilaya akapambane huko na tamisemi huku akikua taratibu kisiasa, for now she is unused golden asset for the country. Ila Maria pia nae atulie basi akubali kusaidia nchi akiwa ndani ya system, apunguze ukali na misimamo, ukiwa huko nje ya system huwezi kujua moto ulioko ndani na mapungufu yaliyoko.
Ndio, asilimia 90 ya wabunge wamewekwa tuuUnafikiri bungeni unaenda tu!?