Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

UNASHDA KWELI KWENYE AKILI YAKO.MANABII FEKI WAMEKUHARIBU UBONGO WAKO.ujenz wa barabara shule na vyuo vya ufundi mahospitali na kilimo bora yanahusikaje na mambo ya kiroho,?
Nothing to prove hampo illuminated miaka 60 ya Uhuru bado tu mnahangaika na barabara , choo , na madarasa what a sheme .

Africa hata mpewe nini hamtatoka hapo mpo cursed
 
Yote hayo yapo kweli, anayesimamia elimu anafanya nini kuondosha matabaka?

70s ilikuwa ni sifa kubwa mwanafunzi akipata nafasi ya kusoma shule za serikali kuliko shule binafsi. Sasa imekuwa kinyume chake. Why?
WHY?Yaani mtu mmoja JOSEPH MUNGAI (mkenya) aharibu wengne mpaka leo hawaoni hzo tabaka kwenye elimu.tunajenga tabaka ya WATAWALA NA WATALIWA.WATAWALA WATAPATA ELIMU BORA NA KULA KEKI YA NCHI NA WATALIWA WATAENDELEA KUPATA ELIMU DUNI NA KUSOTA.Wako wapi wanaloliona hili?MAKONDA HUSEN BASHE JERY SILAA WAMEONA WAMEANZA KUTUMIKIA WANANCHI
 
Kila siku ninasrma huu ukweli kuwa waislamu nfiyo wanso tualibis taifa wanapo kuwa marais...wakishika nchi hsdi watoto wao wanakuwa miungu na mabilionea ...mtizame mkapa ..nyerere na magufuli walipo kuwa viongozi uwezi kusikia kashifa yoyote wala kujiinua kwa watoto wao wala ndugu zao wala wake zao ...leo wake za marais waislamu wametaka wamefanya kutungwe sheria ya wao kulipwa mishahara kama marais ...kuna huyo Haramia wa samia anaitwa abdul ni hatari tupu kwa sasa ni zaidi ya mafirauni 10000t
Uislam haukatazi mtu kuwa bilionea, hata mabilionea wengi wa Tanzania ni Waislam, au wote ni watoto wa Marais?

Akama huelewi kutumia fursa kihalali, kuwa Muislam ujifunze.
 
Umesha shelewa ....ukweli ukicheleweshwa ni sawa na uongo tu....mambo yamesha haribika sana leo hadi bajeti ya uganda kwa mara ya kwanza imekuwa kubwa kuliko yetu wakati samia anachukua mikopo mingi kuliko marais wote toka tupate uhuru ila bajeti imezidiwa hata na uganga
Bajeti kuwa kubwa au ndogo haina uhusiano na nilichoandika kwenye mada.

Labda umefanya uvivu wa kuisoma post #1
 
Hee hii account imekuwa hacked!? Ni wewe Mzanzibari mwenzangu!?

Hata hivyo nakupongeza na ni dalili kwamba Karibia wote Sasa tutaongea lugha Moja!!

Wala usimung'unye maneno, tatizo la msingi lipo hapo juu Kwa dada yako!!

Yeye akiamua huu ujinga usingekuwepo. Mbona JPM aliweza?

Hongera Kwa kujitambua
Hapana, tatizo lipo kwa watendaji.

Mimi siyo Mzanzibari ni Mzenjbar, kumbuka hilo.
 
Uislam haukatazi mtu kuwa bilionea, hata mabilionea wengi wa Tanzania ni Waislam, au wote ni watoto wa Marais?

Akama huelewi kutumia fursa kihalali, kuwa Muislam ujifunze.
Hata ukristo haukatazi mtu kuwa bilionea ...tumia akili kujua nilicho maanisha tatizo lako wewe akili zako ni finyu
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya Uongozi m'bovu na laana!

Matumizi ya hovyo yaondolewe mama aache uvivu aingie site kututumikia


Laana yenyewe ndo hiyo watu hawapo enlightenment Rais ni reflection ya watu anaowaongoza..

Miaka 60 ya uhuru bado tunajenga madarsa na vyoo ,
 
Laana yenyewe ndo hiyo watu hawapo enlightenment Rais ni reflection ya watu anaowaongoza..

Miaka 60 ya uhuru bado tunajenga madarsa na vyoo ,
Tunarudi palepale ni uongozi m'bovu
Serikali ipinge matumizi mabovu ya neno Dr.
 
Pitia nyuzi zangu ninazoanzisha, hazina hoja mbovu.
Ni kweli kabisa nyingi zao ni hoja nzito nzuri na za kufunza , ukiachilia hizi za kidini na hizi za kisiasa za ambazo ndani yake kuna udini na upendeleo, na za kisiasa ambazo ndani yake kuna udini na chuki.
 
Nothing to prove hampo illuminated miaka 60 ya Uhuru bado tu mnahangaika na barabara , choo , na madarasa what a sheme .

Africa hata mpewe nini hamtatoka hapo mpo cursed
Siyo "curse" ni uroho na kufata mifumo tuliyowekewa na wageni ndicho kinatusumbuwa.
 
Nothing to prove hampo illuminated miaka 60 ya Uhuru bado tu mnahangaika na barabara , choo , na madarasa what a sheme .

Africa hata mpewe nini hamtatoka hapo mpo cursed
UNA KANISA WAPI?UNAJUA UNABII WA AFRIKA KWENYE KITABU CHA ISAYA?umaskn wa afrika ni suala la uongoz mbovu ufisadi na uroho wa madaraka.umaskn wa mtu mmoja mmoja hata usa upo
 
Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.

Nchi ndogo za magahribi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia serikali.

Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na tusidhani hayajafika Afrika Mashariki, yameshafika. Yanasambaa kama moto wa makumbi.

Leo tunashuhudia Kenya hata Polisi na jeshi hawataki kuhusishwa na siasa na uongozi mbovu.

Tutakopa mpaka lini? Tutaendelea na kila kitu cha uongozi kukifanya siasa mpaka lini?

Tumeshuhudia watu kama Makonda wanaondokana na siasa za kulindana na kuingia kwenye uhalisia wa kumtumikia mwananchi. Naona mawaziri wachache sana wameliona hilo, lakini hawaonekani vilivyo na hawatumii media kuonesha dhahiri shahiri kuwa sasa siyo wakati wa siasa, ni wakati wa vitendo.

Tunataka tuone mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wakiondokana na dhanna ya kujitetea na kutetea ujinga, tunataka tuwaone wakitumikia wananchi muda wote.

Serikali iwachane kabisa na anasa za kijinga za magari ya kifahari kwa kila mkuu wa idara mpaka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya. Hiyo ni dharau kubwa kwa wananchi wanyonge.

Kuna mengi sana ya kurekebisha na waziri wa fedha leo hii anakuja na bajeti ambayo haitekelezeki kwa jinsi fungu kubwa linavyokwenda kwenye matumiazi ya anasa. Anasa ya kwanza inayojionesha wazi wazi ni kwa Mtanzania wa kawaida, ni wakuu wote, kuaniza wa idara mpaka mawaziri kutembelea magari ya anasa ambayo ni mzigo mkubwa kwa nchi ya kimasikini.

Serikali ijirekebishe, tusifikiri sisi ni kisiwa, sisi ni nchi inayopakana na nchi nyingi Afrika. mabadiliko ya mama anayoyataka kwenye R zake nne yawekwe wazi, siyo kutangaza mabadiliko wakati naamini hata mawaziri hawaelewi ni mabadiliko yepi.

Naamini katika watendaji na idara zote za serikali waliyoelewa dhanna ya R nne ni wachache sana. Ofisi ya Rais inayohusika na habari inatakiwa itowe elimu kubwa kwa serikali na wananchi ili wote tuelewe ni kupi, kupatana, kustahamili, kubadilika na kujenga upya kuliko kusudiwa na falsafa ya R nne za mama Samia.

Ukifatilia habari za Burkina Faso kwa sasa, utaona kuwa wanaziishi R nne za mama Samia bila kuwa nazo.
S isi tulionazo tunashindwa kuziishi.
Mchango wako ni mzuri ila umechafuliwa na kumsifu bwana mwenye damu za watu mikononi mwake.
 
WHY?Yaani mtu mmoja JOSEPH MUNGAI (mkenya) aharibu wengne mpaka leo hawaoni hzo tabaka kwenye elimu.tunajenga tabaka ya WATAWALA NA WATALIWA.WATAWALA WATAPATA ELIMU BORA NA KULA KEKI YA NCHI NA WATALIWA WATAENDELEA KUPATA ELIMU DUNI NA KUSOTA.Wako wapi wanaloliona hili?MAKONDA HUSEN BASHE JERY SILAA WAMEONA WAMEANZA KUTUMIKIA WANANCHI
Mifumo ya kutugawa watutawale ndiyo inayotuumiiza.

Burkina Faso na jirani zake wanafanya maamuzi magumu ya kuwachana nayo.

Sisi tunangoja nini?
 
Tunarudi palepale ni uongozi m'bovu
Serikali ipinge matumizi mabovu ya neno Dr.

😁😁😁😁😁 kutokupenda ukweli ndo umeamua kufanya person attack sio?

Sisi Africa ni cursed continent mama SSH hakuna anachoweza kufanya
 
Nawanoa wanangu wawe magaidi wasije na sura za kiserikali ambayo inajipatia fedha za kufanyia matanuzi kinguvu na ukatili mkubwa Kwa maskini wasiothaminika.
 
Back
Top Bottom