Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hao hao ni jamii hiyo hiyo. Most of them wabunge ndio mawaziri. Wengi wana hizo nafasi za kuteuliwa mawizarani huko.Unaongelea mbunge au waziri? Maana si kila mbunge ni waziri.
Mawaziri wanapewa magari ya kifahari na serikali na ndicho tunataka kifanyiwe Reforms kisitishwe.
Usiku wa leo nimemuambia hilo kwenye uzo fulani kuwa ameanza kuwa objective na kuacha ushabiki hewa.Maajabu leo faiza umeongea ukweli,maana always ulikuwa mtu wa kuitetea serikali hata kwenye uozo.
Naona malaika wa Bwana amekushukia,safi na hongera kuona hili.
Naona mmeanza kufunguwa loki za bongo zenu, mnajitia fikra potofu nisizokuwa nazo.Usiku wa leo nimemuambia hilo kwenye uzo fulani kuwa ameanza kuwa objective na kuacha ushabiki hewa.
Aliomba ushahidi nikamwambia sina. FaizaFoxy Nadhani sio mimi pekee nilie observe changes kwako. Huu hapa ushahidi ulioutaka.
Hapana, tuna wsbunge zaifibyab350 lakini mawaziri na manaibu waziri hawazidi 60.Hao hao ni jamii hiyo hiyo. Most of them wabunge ndio mawaziri. Wengi wana hizo nafasi za kuteuliwa mawizarani huko.
Huo ndo uhalisia hata akikataa,huyu faiza si ni sawa tu na Lucas MwashambwaUsiku wa leo nimemuambia hilo kwenye uzo fulani kuwa ameanza kuwa objective na kuacha ushabiki hewa.
Aliomba ushahidi nikamwambia sina. FaizaFoxy Nadhani sio mimi pekee nilie observe changes kwako. Huu hapa ushahidi ulioutaka.
Hapo tu ndio nimeshindwa kumuelewa 😂Umejitahidi sana, ila acha uchawa Kila sehemu R 4 za mama Samia
Naona ameanza kutingisha kiberiti !Huo ndo uhalisia hata akikataa,huyu faiza si ni sawa tu na Lucas Mwashambwa
Na mpaka anaenda against unaweza kukuta kuna maslahi amekosa.
Maisha ya kupenda anasa ndio janga letu Waafrika !🙄Nothing to prove hampo illuminated miaka 60 ya Uhuru bado tu mnahangaika na barabara , choo , na madarasa what a sheme .
Africa hata mpewe nini hamtatoka hapo mpo cursed
Komenti Kama hii ANGALIA Lucas asije kukuacha 😊Hakuna uhusiano wowote kati ya Uongozi m'bovu na laana!
Matumizi ya hovyo yaondolewe mama aache uvivu aingie site kututumikia
Hivi ni wewe au umeandikiwa na mtu. Pongezi kwako- bandiko safi Kwa kweli… hayo uliyosema ndio yanatakiwa Kwa ujumla wake…Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.
Nchi ndogo za magahribi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia serikali.
Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na tusidhani hayajafika Afrika Mashariki, yameshafika. Yanasambaa kama moto wa makumbi.
Leo tunashuhudia Kenya hata Polisi na jeshi hawataki kuhusishwa na siasa na uongozi mbovu.
Tutakopa mpaka lini? Tutaendelea na kila kitu cha uongozi kukifanya siasa mpaka lini?
Tumeshuhudia watu kama Makonda wanaondokana na siasa za kulindana na kuingia kwenye uhalisia wa kumtumikia mwananchi. Naona mawaziri wachache sana wameliona hilo, lakini hawaonekani vilivyo na hawatumii media kuonesha dhahiri shahiri kuwa sasa siyo wakati wa siasa, ni wakati wa vitendo.
Tunataka tuone mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wakiondokana na dhanna ya kujitetea na kutetea ujinga, tunataka tuwaone wakitumikia wananchi muda wote.
Serikali iwachane kabisa na anasa za kijinga za magari ya kifahari kwa kila mkuu wa idara mpaka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya. Hiyo ni dharau kubwa kwa wananchi wanyonge.
Kuna mengi sana ya kurekebisha na waziri wa fedha leo hii anakuja na bajeti ambayo haitekelezeki kwa jinsi fungu kubwa linavyokwenda kwenye matumiazi ya anasa. Anasa ya kwanza inayojionesha wazi wazi ni kwa Mtanzania wa kawaida, ni wakuu wote, kuaniza wa idara mpaka mawaziri kutembelea magari ya anasa ambayo ni mzigo mkubwa kwa nchi ya kimasikini.
Serikali ijirekebishe, tusifikiri sisi ni kisiwa, sisi ni nchi inayopakana na nchi nyingi Afrika. mabadiliko ya mama anayoyataka kwenye R zake nne yawekwe wazi, siyo kutangaza mabadiliko wakati naamini hata mawaziri hawaelewi ni mabadiliko yepi.
Naamini katika watendaji na idara zote za serikali waliyoelewa dhanna ya R nne ni wachache sana. Ofisi ya Rais inayohusika na habari inatakiwa itowe elimu kubwa kwa serikali na wananchi ili wote tuelewe ni kupi, kupatana, kustahamili, kubadilika na kujenga upya kuliko kusudiwa na falsafa ya R nne za mama Samia.
Ukifatilia habari za Burkina Faso kwa sasa, utaona kuwa wanaziishi R nne za mama Samia bila kuwa nazo.
S isi tulionazo tunashindwa kuziishi.
Yaani wewe MKRISTO hakuna unachowaza isipokua ni chuki Tu dhidi ya uislamuHata ukristo haukatazi mtu kuwa bilionea ...tumia akili kujua nilicho maanisha tatizo lako wewe akili zako ni finyu
Du wewe ni "mshenzi bar" 🙄 basi utakuwa unatokea makunduuchi au jambianiHapana, tatizo lipo kwa watendaji.
Mimi siyo Mzanzibari ni Mzenjbar, kumbuka hilo.
Zuzu akili inahusu uelewa wakoSasa akili zangu wewe zinakuhusu nini?
Au mada hapa ni akili zangu?
Leo umerudia nafasi yako....Kwa mara ya kwanza nakusoma kama Faizafox yule wa enzi hizo ambapo ulikuwa realHususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.
Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali.
Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na tusidhani hayajafika Afrika Mashariki, yameshafika. Yanasambaa kama moto wa makumbi.
Leo tunashuhudia Kenya hata Polisi na Jeshi hawataki kuhusishwa na siasa na uongozi mbovu.
Tutakopa mpaka lini? Tutaendelea na kila kitu cha uongozi kukifanya siasa mpaka lini?
Tumeshuhudia watu kama Makonda wanaondokana na siasa za kulindana na kuingia kwenye uhalisia wa kumtumikia mwananchi. Naona mawaziri wachache sana wameliona hilo, lakini hawaonekani vilivyo na hawatumii media kuonesha dhahiri shahiri kuwa sasa siyo wakati wa siasa, ni wakati wa vitendo.
Tunataka tuone mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wakiondokana na dhanna ya kujitetea na kutetea ujinga, tunataka tuwaone wakitumikia wananchi muda wote.
Serikali iwachane kabisa na anasa za kijinga za magari ya kifahari kwa kila mkuu wa idara mpaka wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya. Hiyo ni dharau kubwa kwa wananchi wanyonge.
Kuna mengi sana ya kurekebisha na waziri wa fedha leo hii anakuja na bajeti ambayo haitekelezeki kwa jinsi fungu kubwa linavyokwenda kwenye matumiazi ya anasa. Anasa ya kwanza inayojionesha wazi wazi ni kwa Mtanzania wa kawaida, ni wakuu wote, kuaniza wa idara mpaka mawaziri kutembelea magari ya anasa ambayo ni mzigo mkubwa kwa nchi ya kimasikini.
Serikali ijirekebishe, tusifikiri sisi ni kisiwa, sisi ni nchi inayopakana na nchi nyingi Afrika. mabadiliko ya mama anayoyataka kwenye R zake nne yawekwe wazi, siyo kutangaza mabadiliko wakati naamini hata mawaziri hawaelewi ni mabadiliko yepi.
Naamini katika watendaji na idara zote za serikali waliyoelewa dhanna ya R nne ni wachache sana. Ofisi ya Rais inayohusika na habari inatakiwa itowe elimu kubwa kwa serikali na wananchi ili wote tuelewe ni kupi, kupatana, kustahamili, kubadilika na kujenga upya kuliko kusudiwa na falsafa ya R nne za mama Samia.
Ukifatilia habari za Burkina Faso kwa sasa, utaona kuwa wanaziishi R nne za mama Samia bila kuwa nazo.
Sisi tulionazo tunashindwa kuziishi.
leo nimeamini kwa kweliSAA mbovu inapopatia majira