Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

Huyo jamaa nahisi yupo Lushoto huko chuo cha mahakimu 😂😂😂
 
Kashiba uji huyo 😂😂😂 hizo ajira ni sawa na kijiko cha sukari kwenye pipa la maji
 
Mkuu mimi nimesoma Afya, nimehitimu 2016. Ajira nyingi zilitoka 2018 ambazo zilikuwa 8,000 tu.

Kabla ya hapo Afya zilitoka ajira 2,000 ( 2017 ), na Ajira 555 ( 2019 ).

Kwahiyo kwa ajira hizo 40,000 ni nyingi sana kulinganisha na ajira zote zilizotoka 2016.
 
Ila hazita cover watu waliopo mtaani hata kwa 50% tu, bado kilio kipo pale pale yani!
 
Ila hazita cover watu waliopo mtaani hata kwa 50% tu, bado kilio kipo pale pale yani!
Huwezi kuajiri kila mtu na siyo kila mtu anataka hizo ajira za LAKI 5 kwa mwezi.

Jambo la msingi ni kupambana kupunguza unemployment rate kwa kila iwezekanavyo kupitia serikali yenyewe na sekta binafsi.
 
Sawa chief
 
Sasa wahakikishe hakuna mambo ya wenye vyeti feki
 
uongo vyuo vyetu vyote ukijumlisha vinatoa graduate 1200 tu wa ualimu kwa mwaka ukipiga kwa miaka 20 nyuma ni elfu 24 tu!! hiyo laki tano umeitoa wapi?
Umepata wapi data. Kuna graduates, kuna diploma, kuna certificate.... Vyuo vya ualimu vipo vingapi halafu useme 1200
 
Maana yake wakiruhusu demokrasia legacy inabomolewa?
 
mi ni mwalimu niliyekosa ajira kwa miaka 6, si nikajaribu kufungua day care januari hii, nikakutana na fungia fungia day care, pia serikali ikatangaza kufungua day care zake. Nikawa najiuliza serikal si wanasema tujiajir? Sasa mi mwalimu nijiari vipi.
 
kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…