spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Unaulizia ajira ya jwtz nani amekwambia askari anaajiriwa? Alafu unaulizia ajira ya jwtz upo mtaaniVp kuhusu ajira za jwtz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaulizia ajira ya jwtz nani amekwambia askari anaajiriwa? Alafu unaulizia ajira ya jwtz upo mtaaniVp kuhusu ajira za jwtz?
Huyo jamaa nahisi yupo Lushoto huko chuo cha mahakimu 😂😂😂Ndugu hivi uko tanzania ya wapi hiyo au bado uko fm6
Udsm Baed tu ni zaidi ya 1000
Bado Bed kama 300
Bado wale wa science Conas 300
Bado coed special need kama 300
Haya Bado branches za udsm Duce na Muce chuo kizima kinatoa degree za education tu
Nenda udom ndio inaongoza kwa udahili utachoka asee hao 1200 ni udom pekee inatema na zaidi,
Hapo sijagusia vyuo vingine vya kati na waajiriwa wengi wanatoka humo.
Kaa kimya hujui chochote.Sijakataa wasiajiriwe wapya.
Pili sikusema watu 10 kila mmoja alipwe milioni 10 ama watu 200 kila mmoja alipwe milioni 10.
Nakubaliana na mtazamo wako lakini pia kuna mengine sikubaliani na mtazamo wako.
Ahsante.
Kashiba uji huyo 😂😂😂 hizo ajira ni sawa na kijiko cha sukari kwenye pipa la majiwe
wewe ndo muongo, nimemaliza UDSM 2015 namba yangu 01366 surname yangu inaanza na M , rafiki yangu surname yake A inaanza reg no yake ni 00730 sasa mwenye surname inayoanza na na Z atakuwa na reg no ngapi? Mahaba yakizid hupunguza uwezo wa kufiri, hicho ni chuo kimoja tu je hapa nchini kuna vyuo vingapi?
Mkuu mimi nimesoma Afya, nimehitimu 2016. Ajira nyingi zilitoka 2018 ambazo zilikuwa 8,000 tu.Wewe kwa akili ulionayo unaona graduates ni walimu tu?
Kwa chuo nilichosoma mimi graduates walikuwa mikondo 5! Uhasibu, Sheria, Masoko, Uchumi, Ugavi na Rasilimali watu! Hao ni undergraduates tu! Sijazungumzia diploma wala, certificates ambao ni wengi pia!
Kwa undergraduates tu uki combine figure wanaweza kufika kati ya 900-1000 kama wastani! Sasa zidisha hio figure mara 5 uone itakupaje? Likely 4500 kila baada ya miaka mitano na wanaoajiriwa na kujiajiri hawafiki 500 katika hilo kundi lote!
Vyuo vikuu viko vingapi bongo? Mzumbe,Sua, Tumaini, UDSM, St.Joseph,IFM,CBE, UDOM hivyo ni baadhi tu! Nafikiri vinafika hata 10 au zaidi! Kwa mwaka tu ni 45,000 graduates!
Kwa miaka mitano unazungumzia 225,000 graduates! Kuchekelea ajira 40,000 haingii akilini
Sasa kama kuna upungufu wa watumishi wasiajiri sababu ya legacy?Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Ila hazita cover watu waliopo mtaani hata kwa 50% tu, bado kilio kipo pale pale yani!Mkuu mimi nimesoma Afya, nimehitimu 2016. Ajira nyingi zilitoka 2018 ambazo zilikuwa 8,000 tu.
Kabla ya hapo Afya zilitoka ajira 2,000 ( 2017 ), na Ajira 555 ( 2019 ).
Kwahiyo kwa ajira hizo 40,000 ni nyingi sana kulinganisha na ajira zote zilizotoka 2016.
Halafu anadanganya anajenga miradi kwa mapato ya ndani.Regacy gani aliyonayo magufuli ya kukopa mpaka deni la taifa kufika trion 71?
Huwezi kuajiri kila mtu na siyo kila mtu anataka hizo ajira za LAKI 5 kwa mwezi.Ila hazita cover watu waliopo mtaani hata kwa 50% tu, bado kilio kipo pale pale yani!
Sawa chiefHuwezi kuajiri kila mtu na siyo kila mtu anataka hizo ajira za LAKI 5 kwa mwezi.
Jambo la msingi ni kupambana kupunguza unemployment rate kwa kila iwezekanavyo kupitia serikali yenyewe na sekta binafsi.
Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Work hard,legacy no moreHuu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Itaongeza ujazi wa pesa kwenye mzunguko. Serikali itapata kodi pia.Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Umepata wapi data. Kuna graduates, kuna diploma, kuna certificate.... Vyuo vya ualimu vipo vingapi halafu useme 1200uongo vyuo vyetu vyote ukijumlisha vinatoa graduate 1200 tu wa ualimu kwa mwaka ukipiga kwa miaka 20 nyuma ni elfu 24 tu!! hiyo laki tano umeitoa wapi?
Kama hawatakagua vyeti feki Jeshini na kwa wanasiasa, zoezi zima litakuwa ni unafiki na uonevu tuSasa wahakikishe hakuna mambo ya wenye vyeti feki
Maana yake wakiruhusu demokrasia legacy inabomolewa?Dah cjui unawaza nn ndugu..kwa hio serikali isifanye chochote ..maaana kwa mtazamo wako wakiajir itakua wanataka kuharaib legacy ya magu hata wakijenga miundo mbinu bhc itakua wanataka kuharib legacy ..kwa maana hio nchi isifanye jambo lolote la kimaendeleo ili tuzid kumkumbuka huyo magu
mi ni mwalimu niliyekosa ajira kwa miaka 6, si nikajaribu kufungua day care januari hii, nikakutana na fungia fungia day care, pia serikali ikatangaza kufungua day care zake. Nikawa najiuliza serikal si wanasema tujiajir? Sasa mi mwalimu nijiari vipi.Mh. Hakimu unaweza kutuambia kuwa...
Je, watu waliosomea ualimu wanaweza kuajiriwa katika sekta gani binafsi tofauti na shule za binafsi licha ya kuwa waajiri katika shule hizi wanawasimanga walimu wahanga wa ajira? Na ni kwa kiwango gani sekta binafsi inaweza kutoa ajira kwa walimu?...
Je, ni maeneo gani mtu aliyesomea ualimu yaani MWALIMU anaweza kujiajiri tofauti na kufundisha?
.
ANGALIZO: Hadhi ya walimu iheshimiwe kwani kuna watu walioshiba hadi kusahau wengine hawakawii kuwaambia walimu kuwa wasitegemee serikali iwaajiri kwani kuna fursa nyingi za kujiajiri hata kuokota chupa za plastic, vyuma chakavu, n.k kuwa nazo ni fursa tosha ambazo mwalimu anaweza kuzitumia kujiingizia kipato!
Narudia hayo ni maneno/mawazo ya watu walioshiba na kuwasahau wenye njaa!
kabisaWewe kwa akili ulionayo unaona graduates ni walimu tu?
Kwa chuo nilichosoma mimi graduates walikuwa mikondo 5! Uhasibu, Sheria, Masoko, Uchumi, Ugavi na Rasilimali watu! Hao ni undergraduates tu! Sijazungumzia diploma wala, certificates ambao ni wengi pia!
Kwa undergraduates tu uki combine figure wanaweza kufika kati ya 900-1000 kama wastani! Sasa zidisha hio figure mara 5 uone itakupaje? Likely 4500 kila baada ya miaka mitano na wanaoajiriwa na kujiajiri hawafiki 500 katika hilo kundi lote!
Vyuo vikuu viko vingapi bongo? Mzumbe,Sua, Tumaini, UDSM, St.Joseph,IFM,CBE, UDOM hivyo ni baadhi tu! Nafikiri vinafika hata 10 au zaidi! Kwa mwaka tu ni 45,000 graduates!
Kwa miaka mitano unazungumzia 225,000 graduates! Kuchekelea ajira 40,000 haingii akilini
Polepole ndiyo mwendo.Ndogo mnoooo hasa kwenya elimu, kuna graduate zaidi ya laki tano mtaani wa ualimu tu ambao wanaranda randa bila ramani.