Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.

Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be a thing of the past for Tanzanian media. Why lie, this is a very fishy law, an uneducated and vengeful decision too, based on only one visible fact.

That foreign media (Kenyan included) have been very vocal and critical about human rights abuses by the Tanzanian government and also its stifling of the opposition and silencing of the media.

We are living in very interesting times, welcome to East Africa's N. Korea. Crackdown on free press intensifies in Tanzania
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya.

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
 
Kuna wazazi wangejua hela za ada wangenywea pombe au kuhonga mchepuko tu
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
Uko sahihi kabisa
 
Kwani wakisha apply na kupata permit kutambuliwa rasmi ujiungaji wao na media za nje si unaruhusiwa kujiunga na radio/tv zozote za nje ili ziweze kuhabarisha issues about Tanzania na dunia

Wajisajili tu waendelee tu na uhabarishaji.
 
A free press is important for a free society. I understand the sentiments from their opposition politicians to use Kenyan media. You can not trust anything from Tanzanian media when news from reporters without borders indicates that Tanzanian media has now been completely co-opted into a propaganda arm of the GOT.

Any independent journalist in Tanzania is now either in hiding, arrested or has been assassinated.

Now compare the above with the faith of GOK in Kenyan media. Yesterday Cs Mutahi Kagwe clearly asked for help from the fourth estate to help the DCI investigate individual governors who may be doing underhand deals in their counties.

Compare the above to when the President of Kenya and Chief justice Maraga agreed that the media is making fun of them and making them look bad, but it is a pivotal and independent part of free society.
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya. Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.
Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
Labda hiyo biashara wafanye kwenye mtandao ila Nyang'au marufuku kukanyaga US
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
Udikiteta mtupu, haya mambo ilibidi yatokee kipindi Cha Vita baridi, sio sasa hivi, CCM wanaifanya nchi hii Kama North Korea, Urusi, Kama wanapiga propaganda, na mnasema sio ukweli, si mjibu, nyie mnapendwa na wananchi, sasa mnaogopa nini vyombo vya habari vikiongea

Mashetani wakubwa Hawa, kila taasisi inafanya kazi ya chama.
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya. Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.
Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
Mbona mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa?

Mlitaka BBC wasifu ujenzi wa daraja?
 
Tz wamefanya yule Kim wa Korea Kaskazini aonekane malaika, ila waachwe wapambane na hali yao wananikumbusha Kenya ilivyokua miaka 20 iliyopita.

Vijana wa kisasa wanapaswa wayaone ya Tanzania ili wajue tuliumia sana mpaka kufika hapa tulipo.
 
Hakuna utumwa mbaya kama wakujiona upo free
Kama utumwa wa Lisu kutoka alikokua. Hopeless kabisa wewe.

Unafikiri hii nchi ni kichaka cha kufanyia majaribio ya uongozi?

Mtu kakaa na wazungu zaidi ya miaka miwili mfululizo akizunguka ulaya na Amerika, halafu anarudi na kuutaka uraisi wa nchi ya watu zaidi ya million 50 halafu unampigia debe, umerogwa wewe?

Wewe ni jinga na pumbavu kabisa, siasa zimeshakupofua macho, hauoni wala kujua jema na baya kwa nchi
 
The freedom in Kenya is why countries and multinational organizations have chosen Nairobi as their focal point in Africa:

i) Kenya hosts the largest BBC station outside of london and coordinates all bbc offices across all of africa.
ii) Xinhua news network decided to build their africa headquarters in Kenya and the largest outside beijing.
iii) Startimes media despite late entry in Kenya, decided to build their african HQ in Kenya which now coordinates all 14 countries in africa, in which startimes operates in. All 14 countries report to Nairobi now not beijing.
iv) Kenya hosts the largest eu office outside brussels
v) Kenya hosts the largest American embassy in africa.
vi) Kenya hosts the largest british embassy in Africa.
 
Mbona mkiambiwa ukweli mnasema mmetukanwa?

Mlitaka BBC wasifu ujenzi wa daraja.?
Hawana muda huo wala kutangaza ujenzi wa kinu cha umeme, wao ni kutafuta mabaya tu maana ndio yanauza.

Leo hii hakuna breaking news ikawa na possitive, breaking news lazima iwe ni mbovu.

Wenzenu wanaangalia biashara nyinyi mnaleta hisia na mihemko ya kisiasa.
 
The freedom in Kenya is why countries and multinational organizations have chosen Nairobi as their focal point in Africa:

i) Kenya hosts the largest BBC station outside of london and coordinates all bbc offices across all of africa.
ii) Xinhua news network decided to build their africa headquarters in Kenya and the largest outside beijing.
iii) startimes media despite late entry in Kenya, decided to build their african HQ in Kenya which now coordinates all 14 countries in africa, in which startimes operates in. All 14 countries report to Nairobi now not beijing.
iv) Kenya hosts the largest eu office outside brussels
v) Kenya hosts the largest American embassy in africa.
vi) Kenya hosts the largest british embassy in Africa.
Political stability.
 
Back
Top Bottom