Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Hawana muda huo wala kutangaza ujenzi wa kinu cha umeme, wao ni kutafuta mabaya tu maana ndio yanauza.

Leo hii hakuna breaking news ikawa na possitive, breaking news lazima iwe ni mbovu.

Wenzenu wanaangalia biashara nyinyi mnaleta hisia na mihemko ya kisiasa.
Kuna mtu the hegue anaitafuta kwa nguvu sana na vikaragosi vyake like you.
 
Kama utumwa wa Lisu kutoka alikokua. Hopeless kabisa wewe.

Unafikiri hii nchi ni kichaka cha kufanyia majaribio ya uongozi?

Mtu kakaa na wazungu zaidi ya miaka miwili mfululizo akizunguka ulaya na Amerika, halafu anarudi na kuutaka uraisi wa nchi ya watu zaidi ya million 50 halafu unampigia debe, umerogwa wewe?

Wewe ni jinga na pumbavu kabisa, siasa zimeshakupofua macho, hauoni wala kujua jema na baya kwa nchi
Ukiwa CCM pekee ndio mzalendo sio?

Hauna tofauti na waliokuwa wana support ukoloni enzi TANU inatafuta ukombozi
 
Kwani wakisha apply na kupata permit kutambuliwa rasmi ujiungaji wao na media za nje si unaruhusiwa kujiunga na radio/tv zozote za nje ili ziweze kuhabarisha issues about Tanzania na dunia

Wajisajili tu waendelee tu na uhabarishaji.
Akishapata kibali atakuwa responsible kwa kila kitakachosemwa na chombo husika.

Mathalani BBC warushe habari ya Lissu na TCRA waone haifai wakitaka kumpiga faini watampiga aliyeungana na BBC.

Hii nchi sijui inaelekea wapi?
 
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.

Content from and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be a thing of the past for Tanzanian media. Why lie, this is a very fishy law, an uneducated and vengeful decision too, based on only one visible fact.

That foreign media (Kenyan included) have been very vocal and critical about human rights abuses by the Tanzanian government and also its stifling of the opposition and silencing of the media.

We are living in very interesting times, welcome to East Africa's N. Korea
Kama redio yenyewe ni BBC ya wakikuyu nani anaitaka BBC toka iweke base yake Kenya imekuwa chombo kichefuchefu wakikuju wanaitumia kuchafua tz Ila kila wakijaribu wanaumbuka walikuwa wanasema tunakufa kwa korona wameumbuka Ila awasemi vibaya Kenya.
 
Kwani BBC, VOA, DW, ALJAAZIRA wao ni nani mpaka lazima tuwasikilize propaganda zao na utumbo wao?? tupa kureeee!!
Hizo redio sikuizi zimekuwa za kisenge kweli ,sisi tutatumia jamii forum yatosha
 
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.

Content from and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be a thing of the past for Tanzanian media. Why lie, this is a very fishy law, an uneducated and vengeful decision too, based on only one visible fact.

That foreign media (Kenyan included) have been very vocal and critical about human rights abuses by the Tanzanian government and also its stifling of the opposition and silencing of the media.

We are living in very interesting times, welcome to East Africa's N. Korea

Rekebisha heading na uongeze "without permission from the government and the relevant authorities".
 
Ukiwa CCM pekee ndio mzalendo sio?

Hauna tofauti na waliokuwa wana support ukoloni enzi TANU inatafuta ukombozi
Nafikiri wewe bado mtoto, pia uelewa wako bado mdogo sana kuhusu nchi na mifumo ya dunia.

Kama kuwa Rais au uzalendo ni bora tungempa Dr Slaa, Lowasa au Mbowe kipindi kile.

Siyo huyo mtu aliyekaa miaka kwa wazungu hatujui aliyekua anamlisha, aliyekua anampa makazi n.k juzi karudi nchini kesho tumpe nchi awe rais sababu kupigwa risasi, huo ndio uzalendo unaoutaka?

Huyo tundu ni amechanganyikiwa na anatakiwa kutulia ili ku recover. Kamwe tundu hawezi kua Raisi hata kama Western media zitampa support kumpa publicity
 
We waona hafaa kuzuia wapinzani taarifa zao zisi lushe ili watanzania wapate haki zao za msingi kusikiliza Habari za pande zote watawala na upinzani pia?
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya.

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
 
A free press is important for a free society. I understand the sentiments from their opposition politicians to use Kenyan media. You can not trust anything from Tanzanian media when news from reporters without borders indicates that Tanzanian media has now been completely co-opted into a propaganda arm of the GOT.

Any independent journalist in Tanzania is now either in hiding, arrested or has been assassinated.

Now compare the above with the faith of GOK in Kenyan media. Yesterday Cs Mutahi Kagwe clearly asked for help from the fourth estate to help the DCI investigate individual governors who may be doing underhand deals in their counties.

Compare the above to when the President of Kenya and Chief justice Maraga agreed that the media is making fun of them and making them look bad, but it is a pivotal and independent part of free society.
Watu mliochoka huwa hamuiishi kujikomba unatamba kuandika kiingereza ili? Pole sana na ulimbukeni wako wa kukashifu serikali inayokulinda wewe na makaburi ya babu zako, Mwandishi gani kakamatwa au kuuawa? Kwa hiyo ulitaka Rais azuie vifo ambavyo havina kinga? Ulivyo mbaguzi na kujifanya unajali mbona hauhoji bodaboda wanaokufa na wengine kukamatwa kila siku kwa kutokuwa na mafunzo sahihi ya usalama barabarani? Ungekuwa kweli una mapenzi na watanzania usingehangaika kulalamikia kifo cha mtu mmoja ukaacha makundi ya watanzania yanayoangamia kila siku nenda kawaambie walikokutuma tunajua hila zako.
 
Here is President Uhuru Kenyatta, telling Chief Justice Maraga to get used to the insults coming from Kenyan bloggers and Criticism coming from Kenyan media.

Now notice how the judiciary in Kenya is independent and the courts will not follow anything that comes from the executive or parliament.

Now in your head try to imagine if any of this can happen in Tanzania.
 
Watu mliochoka huwa hamuiishi kujikomba unatamba kuandika kiingereza ili ??? Pole sana na ulimbukeni wako wa kukashifu serikali inayokulinda wewe na makaburi ya babu zako , Mwandishi gani kakamatwa au kuuawa? Kwa hiyo ulitaka Rais azuie vifo ambavyo havina kinga? Ulivyo mbaguzi na kujifanya unajali mbona hauhoji bodaboda wanaokufa na wengine kukamatwa kila siku kwa kutokuwa na mafunzo sahihi ya usalama barabarani? Ungekuwa kweli una mapenzi na watanzania usingehangaika kulalamikia kifo cha mtu mmoja ukaacha makundi ya watanzania yanayoangamia kila siku nenda kawaambie walikokutuma tunajua hila zako.
Feelings pelekea bibi yako. Facts ndizo hizi hapa.

Media freedom crisis in Tanzania - Public Media Alliance
Tanzania suspends another media outlet over its Covid-19 coverage | Reporters without borders
Tanzanian reporter banned for six months for coronavirus coverage | Reporters without borders
Tanzania slaps harsh sanctions on three online TV channels | Reporters without borders
Tanzania: Journalist must be freed and given medical care, RSF says | Reporters without borders
 
Hawana muda huo wala kutangaza ujenzi wa kinu cha umeme, wao ni kutafuta mabaya tu maana ndio yanauza.

Leo hii hakuna breaking news ikawa na possitive, breaking news lazima iwe ni mbovu.

Wenzenu wanaangalia biashara nyinyi mnaleta hisia na mihemko ya kisiasa.

Na nilifurahi sana serikali ilivyyowafunda waandishi wa BBC kina Kikeke, sijui nani yule anayejiita Mziwanda na wenzao wengine, wakati kolona ilivyokuwa ikipiga hodi Tanzania na ukanda wote kwa ujumla walikuwa wanatangaza kadhia kama vile ni mashindano vile. Mara Tanzania 7, Kenya 8 ehee hee, huku vinachekelea. Lakn baada ya Jembe kutoa ile hotuba kali ya kuacha kutumia akili za kushikiwa na mabeberu, angalau wameshika adabu.

Maana alisema huko kwa mabeberu wanakufa kwa maelfu lakini hamtangazi au hata mkitangaza mnatangaza kwa huruma na hisia za majonzi kana kwamba wale wanaokufa ubeberuni ni watu zaidi ya waAfrika wenzao. Maana wakati wanapotangaza wanakuwa na mbwembwe na kutokujali kana kwamba wanasema hawa waAfrika wana haki ya kufa. Acha wafe. WaAfrika sijui nani alituroga.
 
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya.

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
Huna hope, stukia basi jombaa. Kuna watu wanatamani sana kwamba mbaki kwenye giza la kutojitambua. Ili wafaidi kwa mgongo wa upumbavu wenu.
 
Huna hope, stukia basi jombaa. Kuna watu wanatamani sana kwamba mbaki kwenye giza la kutojitambua. Ili wafaidi kwa mgongo wa upumbavu wenu.
Kama kubaki gizani ni kuendelea kuwa mtz, basi ni heri iwe hivyo.

BBC waliowaunga mkono wakati wa kutangaza idadi ya maambukizi, leo hawana la kuwasaidia hata katika shirika lenu la ndege.

Poleni sana, ndio zawadi ya mtu mtaalam wa kila jambo.
 
Back
Top Bottom