pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #61
Eti wanataka media za kimataifa zinyooke kama za Tz. [emoji1] Iwe ni mwendo wa kumsifia mtakatifu kote kote, kutoka Marekani hadi Eswatini. [emoji1] Watangoja sana.Akishapata kibali atakuwa responsible kwa kila kitakachosemwa na chombo husika.
Mathalani BBC warushe habari ya Lissu na TCRA waone haifai wakitaka kumpiga faini watampiga aliyeungana na BBC.
Hii nchi sijui inaelekea wapi?