Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Teh teh teh,
uliza kina Seti na Rugemarila wako wapi saa hii. au wewe ulitaka jengo liandikwe 'mahakama ya mafisadi'.
Kangi Lugola na kamishina wapo uraiani na chimbi na bunduki zake 26 kashinda kura za maoni.
 
Kama vyombo vyenyewe ni NTV na opera news basi bora vifungiwe tu.
 
I am a Tanzanian. Nalaani udikteta katika ncho yetu. Nalaani kukosekana kwa uhuru wa maoni. Dikteta Magufuli anaishi kwa upanga. He who lives by the sword dies by the sword.
Ukiamua kusikiliza milizi ya kila mbwa hautafiki, BBC na wenzake ni propaganda media ambazo siku zote ni kuonesha Africa ni bara giza na hakuna chema laweza kufanya.

Sasa Basi kama wengine wanacomply na sheria na taratibu zetu wao ni nani hata wazikiuke yapaswa ufahamu na uelewe Tanzania ni nchi huru inayojitegemea na kuendesha masuala yake vile inafaa kwa mustakabali wa Tanzania na sio uingereza au mabwana wengine wa magharibi.

Nje ya mada mmefikia wapi utiaji saini wa US Kenya free trade agreement?
 
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.

Content from and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be a thing of the past for Tanzanian media. Why lie, this is a very fishy law, an uneducated and vengeful decision too, based on only one visible fact.

That foreign media (Kenyan included) have been very vocal and critical about human rights abuses by the Tanzanian government and also its stifling of the opposition and silencing of the media.

We are living in very interesting times, welcome to East Africa's N. Korea. Crackdown on free press intensifies in Tanzania
Do BBC, CNN, etc broadcast media content from EATV, Citizen, TBC and others from Africa?
 
Do BBC, CNN, etc broadcast media content from EATV, Citizen, TBC and others from Africa?
CNN regularly takes content from KTN or use KTN facilities for their local work, BBC has been using a lot of content from KBC in the past, now they have Kenyan journalists hunted from NTV and KTN who create stories about Africa from Nairobi. Infact CNN,BBC,CGTN, Al Jazeera regularly scout for talent in Kenyan media companies.

I will have to agree with you that I have never seen them use any content from Tanzanian media, or go head hunting in Tanzanian media companies
 
Thank you... I rest my case
 
But KTN,NTV and KBC are all Kenyan media!! Did you want them to pick Tanzanian media?
No need ..that is my personal view/opinion...Nor do we need Tanzanian media to pick Kenyan media...after all with the advancement of technology in communication...everyone can access any media in any country
 
Kuna kitu tunapaswa kujiuliza

Haya yanafanyika kwajili ya taifa au kwajili ya mtu fulani au kikundi cha watu kisichopendwa kufatiliwa?

Huu uzalendo wa kufichana fichana na kunyamazishana utakua ni version mpya huu.
 
Fear of unknown

Acha uoga wa mabadiriko mkuu

Hata Roman empire ili collapse CCM ni mda tu tunaipa
Role ya Roma kwenye siasa za duniani iko pale pale braza. Anzia tu uanzilishi wa Scolastical education system.
 
Sioni wanachofanya hao BBC, VOA zaidi ya propaganda
 
Tuache uongo. Serikali haikupiga marufuku hizi mleta uzi unatunga habari za uongo tu. Kanuni ndio zimebadilika zikitaka local media kupata kibali ili ku-hookup na idhaa za kigeni. Mnataka nchi iwe shamba la bibi kwa hao wageni ku trade propaganda zao kiholela, serikali haiendeshwi kwa mihemko, tujifunze kuelewa!

Screenshot_2020-08-12 https mail tcra go tz service home ~ auth=co loc=en_US id=21702 part=2.png
 
Toka umesikiliza BBC umepata nini ?
Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities.

Content from and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be a thing of the past for Tanzanian media. Why lie, this is a very fishy law, an uneducated and vengeful decision too, based on only one visible fact.

That foreign media (Kenyan included) have been very vocal and critical about human rights abuses by the Tanzanian government and also its stifling of the opposition and silencing of the media.

We are living in very interesting times, welcome to East Africa's N. Korea. Crackdown on free press intensifies in Tanzania
 
Tz wamefanya yule Kim wa Korea Kaskazini aonekane malaika, ila waachwe wapambane na hali yao wananikumbusha Kenya ilivyokua miaka 20 iliyopita.

Vijana wa kisasa wanapaswa wayaone ya Tanzania ili wajue tuliumia sana mpaka kufika hapa tulipo.
Tuna Kim Jong Un wetu wa hapa hapa home A.M tofauti moja tu kati yao ni staili wa kunyoa nywele. 😀
 
Back
Top Bottom