Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

Teh teh teh,
uliza kina Seti na Rugemarila wako wapi saa hii. au wewe ulitaka jengo liandikwe 'mahakama ya mafisadi'.
Kangi Lugola na kamishina wapo uraiani na chimbi na bunduki zake 26 kashinda kura za maoni.
 
Kama vyombo vyenyewe ni NTV na opera news basi bora vifungiwe tu.
 
Ila kiukweli Watanzania asilimia kubwa sana ni wanafiki
 
I am a Tanzanian. Nalaani udikteta katika ncho yetu. Nalaani kukosekana kwa uhuru wa maoni. Dikteta Magufuli anaishi kwa upanga. He who lives by the sword dies by the sword.
 
Do BBC, CNN, etc broadcast media content from EATV, Citizen, TBC and others from Africa?
 
Do BBC, CNN, etc broadcast media content from EATV, Citizen, TBC and others from Africa?
CNN regularly takes content from KTN or use KTN facilities for their local work, BBC has been using a lot of content from KBC in the past, now they have Kenyan journalists hunted from NTV and KTN who create stories about Africa from Nairobi. Infact CNN,BBC,CGTN, Al Jazeera regularly scout for talent in Kenyan media companies.

I will have to agree with you that I have never seen them use any content from Tanzanian media, or go head hunting in Tanzanian media companies
 
Thank you... I rest my case
 
But KTN,NTV and KBC are all Kenyan media!! Did you want them to pick Tanzanian media?
No need ..that is my personal view/opinion...Nor do we need Tanzanian media to pick Kenyan media...after all with the advancement of technology in communication...everyone can access any media in any country
 
Kuna kitu tunapaswa kujiuliza

Haya yanafanyika kwajili ya taifa au kwajili ya mtu fulani au kikundi cha watu kisichopendwa kufatiliwa?

Huu uzalendo wa kufichana fichana na kunyamazishana utakua ni version mpya huu.
 
Fear of unknown

Acha uoga wa mabadiriko mkuu

Hata Roman empire ili collapse CCM ni mda tu tunaipa
Role ya Roma kwenye siasa za duniani iko pale pale braza. Anzia tu uanzilishi wa Scolastical education system.
 
Sioni wanachofanya hao BBC, VOA zaidi ya propaganda
 
Tuache uongo. Serikali haikupiga marufuku hizi mleta uzi unatunga habari za uongo tu. Kanuni ndio zimebadilika zikitaka local media kupata kibali ili ku-hookup na idhaa za kigeni. Mnataka nchi iwe shamba la bibi kwa hao wageni ku trade propaganda zao kiholela, serikali haiendeshwi kwa mihemko, tujifunze kuelewa!

 
Toka umesikiliza BBC umepata nini ?
 
Tz wamefanya yule Kim wa Korea Kaskazini aonekane malaika, ila waachwe wapambane na hali yao wananikumbusha Kenya ilivyokua miaka 20 iliyopita.

Vijana wa kisasa wanapaswa wayaone ya Tanzania ili wajue tuliumia sana mpaka kufika hapa tulipo.
Tuna Kim Jong Un wetu wa hapa hapa home A.M tofauti moja tu kati yao ni staili wa kunyoa nywele. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…