Eti wanataka media za kimataifa zinyooke kama za Tz. [emoji1] Iwe ni mwendo wa kumsifia mtakatifu kote kote, kutoka Marekani hadi Eswatini. [emoji1] Watangoja sana.
Dah! ila naona amekumbana na kichaa anayeitwa Tundu Lissu, yaani jamaa mjasiri kiasi cha kupigwa marisasi na bado akageuza kurudi kwao kugombea urais. Kawaida CCM wamezoea kufanya uchaguzi kama onyesho fulani la kuwakuna mabeberu ili waendelee kupewa misaada ila nahisi kwa huu uchaguzi ujao wataloa jasho sana, itawabidi wafanye pushup nyingi sana.