Serikali ya Tanzania yasema Nemes Tarimo alihukumiwa miaka 7 jela, akafariki akiwa vitani

Ila akili za watu wengine we ushaona sehemu ina vita unaenda kufanya nini rudi kwenu.
 
Leo Ndiyo Serikali Imeamka Usingizi Hii Aibu Sana Wakati Viongozi Wapo
 
Mimi nauliza tu swali.
Ana undugu na Madilu, a.k.a., Nchemba.

Wana/walikuwa na mfanano maalum.
 
Pia, Nemes Tarimo alikuwa mwana CHADEMA na aligombea ubunge 2020 kupitia kwenye Jimbo la Ubungo.

Mungu amweke mahali pema peponi lakini Jambo hili CHADEMA walitakiwa watoe maelezo ya kutosha kilichopelekea mwanachama wao akafungwa miaka 7
Mbowe kuachiwa ile kesi ya Ugaidi na wale makomandoo wa JWTZ serikali ilikuwa sahihi

Chadema ilipeleka watu wake Wagner Grouo kupindua nchi 2015

Lema akadakwa kama kamanda wa uasi kupewa dhamana akatoroka akatororokea kanada kamanda mwingine wa maasi Tundu Lisu akakimbia nchi mbio ubeligiji baada ya mission kufeli

Sababu serikali ina mkono mrefu kupitia chama tawala ilipandikiza mamluki kiibao Chadema

Wahusika wakuu Wakatoroka nchini kwenda nje ya nchi zigo wakambwagia Mbowe
Aliyesota ndani

Serikali ikamuonea huruma ikafuta kesi sababu hakujua kuwa wenzie wanapeleka wana Chadema kwenda Urusi kwa kisingizio cha kusoma kumbe wanaenda kambi za Wagner mercenaries fighters mamluki wa kupigana kwa malipo

Anyway Lisu karibu Tanzania uje kumzika huyo Tarimo mliyempeleka Wagner Group.Russia japo bado wako kule wengi wa Chadema

Ila serikali hailali kuhakikisha watanzania wako salama na nchi inakuwa na amani

Karibu Tundu Lissu uje kumzika kamanda wako Mliyempeleka. Urusi ajiunge.na Wagner group apate uzoefu wa vita aongoze vita kuitoa CCM madarakani kwa mtutu
Wa bunduki akirudi na kuhitimu Russia ambako ndiko kambi kubwa za wagner.group
 
ifike kipindi Watanzania tuone kuwa Urusi haina maana kwetu, kwanza haitusaidii na kitendo cha kutaka wafungwa waende vitani ni cha kikatili sana. uhai wa Mtanzania mmoja unatakiwa kuthaminiwa na serikali ionyeshe msimao katika hili.
 
Ina weze kana waliongea nae ktk salamu za mwaka mpya january, na march akakutana na kadhia hiyo
Na wengi wanaotafuta maisha nje ata akikutana na changamoto hawezi kuwaambia anajua atawatia stress ikiwa uwezo wa kumfikia au kumsaidia haupo, ni hilo limejulikana baada ya kifo chake lakini wapambanaji wanapitia mengi sana.
 
Wakati wa vita kuna fursa pia

Vita ni biashara pia...moja ya utafutaji pia huko

Ova
Yes wanaitwa mercenary, yaani askari wa kukodi wanapigana kwaajili ya mpunga changamoto wanakua hawako patriotic na nchi, kama unajiweza kwenye medani rusia inaonekana anahiyo fursa.
 
Rip Nemes.....kwenda Urusi wakati huu ni hatari mno.

War is evil..
 
ifike kipindi Watanzania tuone kuwa Urusi haina maana kwetu, kwanza haitusaidii na kitendo cha kutaka wafungwa waende vitani ni cha kikatili sana. uhai wa Mtanzania mmoja unatakiwa kuthaminiwa na serikali ionyeshe msimao katika hili.
Naunga mkono hoja hii...alichofanyiwa Nemes na wafungwa wengine na kundi la Wagner ni ukatili
 
Naunga mkono hoja hii...alichofanyiwa Nemes na wafungwa wengine na kundi la Wagner ni ukatili
ukiangalia hata hivyo, hata kama wamgaribi wana mambo ya dhambi na ujinga mwingi, ila wana faida zaidi kwetu kuliko urusi, wanatoa misaada mingi kuliko urusi. hivi ukiuliza hapa bongo mrusi amefanya nini kwa Tanzania, utataja nini? au tunawaweka kama reserve tukihitaji silaha watuuzie? au nini yaani faida yao kwetu? imagine mtu yupo gerezani, wanamwambia aende vitani, unyama gani huo? hata wamagaribi hawawezi kufanya icho kitu. ina maana urusi ana wanajeshi wachache kiasi gani hadi ahitaji mamluki wa aina hiyo? ana uhitaji wa wanajeshi sana kumbe? si walikuwa wanajifanya taifa imara? mbona sasa linafanya vita za kishamba sana.
 
Sawa kufa ukiwa una jaribu si vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…