Wa mileleMoto upi unaota!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa mileleMoto upi unaota!!??
Je nikiingia kupambna baaada ya miezi mitatu mpunga umesoma 50 m je nikitoroka au kusaliti kambi ya warusi nijiunge ukraeni kutakuwa na shida Ni Bora nijisalimishe ukrain
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ifike kipindi Watanzania tuone kuwa Urusi haina maana kwetu, kwanza haitusaidii na kitendo cha kutaka wafungwa waende vitani ni cha kikatili sana. uhai wa Mtanzania mmoja unatakiwa kuthaminiwa na serikali ionyeshe msimao katika hili.
Ushawishi wa pesa unanguvu kuliko kushikiwa mtutu wa bunduki, kama alienda kupigana kwa kulazimishwa usingesikia jambo la pesa.Kuna kua mercenary (professional fighters) wanapigana kwa kulipwa
Na kua mpiganaji wa kulazimishwa kupambania
Kuna maaskari maalum kazi yao ni kuzuia usikimbie, wao hawapigani wako kuhakikisha unapigana wewe. Na ukiwa vitani hela unatunza wapi, kuondoka frontline mpaka kufika benki ukachukue hela tiyari warranty ishatoka ukamatwe. Na mipaka sasa hivi imekazwa ulinzi. Chance ya kutoroka ipo kidogo, ila kutoroka na hela haipo kabisaJe nikiingia kupambna baaada ya miezi mitatu mpunga umesoma 50 m je nikitoroka au kusaliti kambi ya warusi nijiunge ukraeni kutakuwa na shida Ni Bora nijisalimishe ukrain
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maiti inaletwa Tanzania, waziri wa mambo ya nje kathibitisha. Kwanini unaita tetesi taarifa ambayo imesha thibitishwa?Napenda kila siku kujifunza napenda kila siku kujuwa mambo wengine hawaya fikirii wala kuyawaza.
Hizi ni tetesi kutoka ktk vyanzo nyeti vya kimataifa kuhusiana na vita ya Ukraine na mahali
Iteendelea sorry
Vijana wanashida sana,mtu kaamua mwenyewe watu midomo inawashaMaisha lazima yaendelee.. mnajaribu kutafuta mambo ambayo hamuwezi kuya solve..
Mtu amechagua kupigana na kufa sasa sisi tufanyeje... mbona wamarekani wengi sana wamefia wakiipigania Ukraine na wala sio issue?
Yani mtekaji naye anaogopa kutekwaMbona unaogopa?
Ifike mahali watu waweze kujua kutofautisha kati ya mambo ya kibinafsi na mambo ya kinchi.Vijana wanashida sana,mtu kaamua mwenyewe watu midomo inawasha
Hujuwi kilicho nyuma ya pazia Bora ukae kimya tetesi ni nyingi kuliko unayo yasikia. Why tetesi? Ask deep stateIfike mahali watu waweze kujua kutofautisha kati ya mambo ya kibinafsi na mambo ya kinchi.
Yaani mimi mfano niende Russia nikajiunge na Wagner.. that is my problem. Na ukienda huko wakikuua that is not the problem of Tanzania as a country.
Naona watu wanafungua uzi kulaumu serikali.. ni mjinga tu ataweza kulaumu serikali kwa maamuzi binafsi ya mtu binafsi