Serikali ya Tanzania yasema Nemes Tarimo alihukumiwa miaka 7 jela, akafariki akiwa vitani

Salute kwa Wachaga wanapambana sana kila panda ya Dunia ukifuatilia utawakuta....kuna chalii mwingine yupo kwenye jeshi la Marekani.
For sure jamaa wako vizuri.... R.I.P Nemes
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Waafrika hufanywa chambo bwashee
 
Alikuwa akae mahabusu hadi Novembe 15, 2022 ndipo kesi yake itakwe tena. Sasa hiyo hukunu ya miaka 7 mwezi March 2022 imetoka wapi? JamiiCheck wangeweka wazi ukweli upo wapi.
 
Salute kwa Wachaga wanapambana sana kila panda ya Dunia ukifuatilia utawakuta....kuna chalii mwingine yupo kwenye jeshi la Marekani.
For sure jamaa wako vizuri.... R.I.P Nemes
Kwa hiyo wachaga tu ndio unaona wanapambana!???
Iq ndogo bana
 
Urusi ni Supa-pawa wa mchongo......hii Vita imeanika udhaifu wake kumbe alikuzwa na propaganda tu.
 
Wegner ni waongo waongo tu!
 
Historia ya Nyuma huwa inafutika mara nyingi mtu anapoenda Ugenini hafu akaingia Mtaani kutafuta Unafuu wa Maisha!

Maisha ya kuishi Nje yanahitaji uwe na Roho Ngumu, pressure za familia na Ndugu Nyumbani, zinafanya Watu wafanye maamuzi magumu ya kufanya chochote kile kinacholeta Pesa mfukoni.
 
Inasikitisha sana kwa aina hii ya ukatili
Hii itakuwa ni plan ya warusi kuwabambikia kesi wahamiaji wa afrika na asia kisha kuwarubuni wajiunge na vita kuipigania Russia Front line ili waweze kuachiwa
 
Maelezo hayatoshi!
 
Wasimlete huku, wamzike hukohuko
 
Yes wanaitwa mercenary, yaani askari wa kukodi wanapigana kwaajili ya mpunga changamoto wanakua hawako patriotic na nchi, kama unajiweza kwenye medani rusia inaonekana anahiyo fursa.
Je nikiingia kupambna baaada ya miezi mitatu mpunga umesoma 50 m je nikitoroka au kusaliti kambi ya warusi nijiunge ukraeni kutakuwa na shida Ni Bora nijisalimishe ukrain

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pia, Nemes Tarimo alikuwa mwana CHADEMA na aligombea ubunge 2020 kupitia kwenye Jimbo la Ubungo.

Mungu amweke mahali pema peponi lakini Jambo hili CHADEMA walitakiwa watoe maelezo ya kutosha kilichopelekea mwanachama wao akafungwa miaka 7
Wacha ujinga, CDM siyo msemaji wa Serikali. Kibali cha kutoka nje ya nchi unapewa na Serikali kupitia passport na visa
 
Ujumbe usiende kutembea urusi unabambikiwa kesi
 
Tanzania haiwajali wananchi wake wa ndani na nje, serikali imefunga mjadala! Warusi ni marafiki zetu wa damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…