Serikali ya Tanzania yatoa msaada Uturuki

Nasemaje Tanzania inarudi katika medani za siasa za kimataifa,mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Ahsanteni KWA comment zenu
 
Nimefarijika Kuona na sisi tumetoa msaada uturuki, angalau na sisi tunajua kutoa, angalau!
 
Nchi ipo na makuta mingi kila goli milioni 5 wacha tuwape msaada tu!
 
Tanzania karibia wote ni maskini.

Ukiangalia orodha ya matajiri wote ni Raia wa nje.

Hakuna mzawa.

Sasa kama spidi ndio hii ya kumwaga tu mahela kila mahali halafu baadae tunakopa kujengea vyoo hiyo sio sawa.
Gori moja m 5, hii ndio tanga na nyika.
 
Mimi naona tupeleke petition ubalozi wa uturuki ili wa diverge hiyo pesa kwenye visima na zahanati kule vijijini kwetu.
 
Mimi naona tupeleke petition ubalozi wa uturuki ili wa diverge hiyo pesa kwenye visima na zahanati kule vijijini kwetu.
Mkuu, huu ni mwanzo mzuri wa mchango wa mawazo.

Ingetokea jambo kama hili unalopendekeza hapa, na tukawa na mwendelezo mzuri, hasa na hizo Balozi kubwa kubwa zilizopo hapa nchini, sina shaka patakuwepo na matokei chanya.

Kiongozi yeyote akifuja pesa za misaada wanazotoa hawa wanaoitwa 'partners' wa maendeleo, tukashika bango kwenda kwenye ofisi zao na 'petition' zetu, najuwa patakuwepo na msisimko.

Lakini tatizo kubwa ni moja tu. Nchi yetu hatuna watu wa namna hiyo.

Hao NGOs wenyewe ambao wangekuwa mstari wa mbele kuwaelimisha wananchi, ndio wafaidika wakuu katika kushiriki maovu haya!

Sasa tutaanzia wapi na 'petition'!
 
Mama yangu akiwa na pesa utamjua tu huwa hajifichi watoto huwa tunatumwa sana dukani.. ila sikiisha makasiriko bila sababu mtajua hujui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…