Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Unaexpect nn kwa UG wakati ata wao hawapo kwenye list ya ndge zao kuja Kenya unahis watatoa na wao maamuz gani
Kupenda masomo ni mzuri sana. Rwanda, Uganda na ethiopia wako kwa list ya kuingia kenya kupitia anga. kwa eac ni Tanzania na burundi ndiyo wamekatazwa. North america ni Canada na wamarekani kutoka california.

Tafadhali soma kabla ya kuandika usizozijua.
 
Hebu soma hapo uniambie umeelewa nini.
Acheni kukariri.View attachment 1523208
Blah blah blah

Vindege vya mozambique ni mavi au nini?

Mizigo ya TZ 90% inapitia Nairobi,deal with it...Ndege za mizigo unazijua?

Na Nairobi kuna facilities ku-process mizigo,sio mozambique uwanja mavi zaidi ya KIA...

Ukisikia Nairobi Airport ni regional hub uelewe hilo,nobody is joking here!

Mtalii akitoka Ulaya,ni lazima apite Nairobi ndio aje TZ,shortest.....

Ukimzungusha J'burg basi huyo mzungu atabaki SA haruki huku mavini maana SA kuna mbuga inazizunguka za TZ mara 20....

We are playing with fire here...

Hawa viazi waje na majibu sahihi na kuhakikisha we win this na sio hizi shortcuts za mavichaa walizochukua
 
Aise TANZACOM nimecheka
 
Huo ndio ukweli kwamba maambukizi ya Corona yanazidi kuongezeka nchini Kenya na juzi waliweka rekodi ya kupata wagonjwa wa Covid 19 zaidi ya 900 kwa siku moja.

Hivyo kitendo cha Kenya kutofungua anga lake kwa ajili ya Tanzania inalenga zaidi kuwalinda watanzania dhidi ya maambukizi kwa sababu Tanzania Corona imetokomezwa.

Kadhalika serikali ya Tanzania imezuia ndege za Kenya kutua nchini kwa sababu hizo hizo za kuwalinda wananchi wasio na hatia.

Siyo kila kitu ni siasa bali vitu vingine hufanywa kwa misingi ya kibinaadamu.

Tanzania na Kenya siyo majirani tu bali ni ndugu.

Maendeleo hayana vyama
 
Kagame yule aliefunga mpaka wake na Uganda hadi tz ilipoenda kusuluhisha ndio akafungua?

Kumbe wewe jinga ee?
Hata huelewi Kagame ali-solve vipi lile tatizo..

Hujui wala huelewi lolote about it....

Leave that alone,ni topic for another day,leo tuongelee hili ya hawa mavilaza kuja na majawabu ya hovyo kwa issue ya Wakenya..

Hiyo ndio topic ya leo!
 
https://www.routesonline.com › news
Analysis: Kenya's evolving aviation market | Routesonline

15 Oct 2019 · In total it is connected by non-stop scheduled flights to 45 countries around the world. Neighbouring Tanzania remains Kenya's largest market with almost 695,000 departureats this year, up by 37 percent compared with the figure in 2014

Top ten biggest international markets from Kenya (2014-19):

Tanzania
United Arab Emirates
Ethiopia
Uganda
South Africa
Qatar
Netherlands
United Kingdom
France
Rwanda
Source: OAG Schedules Analyser
 
Maendeleo yepi unayoyasema hayana vyama? Ya kilwa umeyasikia??
 
Pesa ipi unayoizungumzia wakati kila siku KQ inatangaza imepata hasara?
Naona hauna habari ama ni kutoweza kusoma
i) August 2019 KQ revenues shot up 41% to kes 114 billion,
ii) 29 May 2020 revenues shot up 12% to kes 128 billion driven by cargo.

This means while it makes losses, revenues are growing every year.

Kenya Airways revenue jumps 12% | News | TAL Aviation
Kenya Airways revenues up 41% to KShs114 bln, boosted by growth in passenger revenue, cargo and ancillary services - AfricanFinancials
 
Kelele nyingi ndio,hoja ingekua sifuri usingejibu hiyo post!

Tena usinge-pay any attention to begin with!

hahahaha

Short story of your mind:

Chilubi: Chapati imetengezwa kwa unga wa ngano
Wyatt: hio chapati haujatumika unga wa ngano kuitengeza kabisa.
Chilubi: Kwanini unakataa hilo?
Wyatt: Unga wa ngano unatengezewa maandazi, cake na vileja.
Chilubi: Okay sawa, nijibu basi kwanini unasema hii chapati haijatumika unga wa ngano?
Wyatt: Najibu nnachotaka na sio unachotaka wewe.
Chilubi: Huna sababu kumbe.
Wyatt: Ningekuwa sina sababu usingenijibu.
 
Rais wako kakurupuka kwenye hili, angeweza kuonyesha busara kwa kuomba mazungumzo.. utadhania alikua anasubiria Kenya wachemke awafundishe ujeuri! Sijui nani kamshauri kufanya hivi, yaani anasahau Kama ni yeye ndie alitoa tausi! Lol
 
So the revenue grows, and the cost grows hence making loss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…