Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda masomo ni mzuri sana. Rwanda, Uganda na ethiopia wako kwa list ya kuingia kenya kupitia anga. kwa eac ni Tanzania na burundi ndiyo wamekatazwa. North america ni Canada na wamarekani kutoka california.Unaexpect nn kwa UG wakati ata wao hawapo kwenye list ya ndge zao kuja Kenya unahis watatoa na wao maamuz gani
Mbona unaanza kuongea kinyonge?[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Blah blah blahHebu soma hapo uniambie umeelewa nini.
Acheni kukariri.View attachment 1523208
Unaona vile huwa munajidanganya! Route ya pesa mingi kwa KQ in eac ni Nairobi-Mombasa ambayo iko na 10 flights kwa siku. Tafadhali penda kufanya research annual books of account za KQ ziko mtandaoni.
Yes it makes losses but revenue have been growing or you do not know the difference between revenues and profit?Pesa ipi unayoizungumzia wakati kila siku KQ inatangaza imepata hasara?
si
Sijui kama unaelewa KQ ina abiria wengi sana Zanzibar hilo ni pigo kuu tena linaumiza kwa Kenya kuliko Tz kwa sababu Tz haina safari za NBI. Unajua KQ inategemea sana flight za nje sababu kenya haina viwanja vingi kwa ajili ya domestic flights kama Air Tanzania. Hii ni dalili ya kuvunjika tena EAC. TZ iimarishe jumuiya ya SADC Mwalimu aliiona hii hali na pia tukubali COMORO kujiunga na sisi jamhuri ya muungano wa Tanganyika, Zanzibar na Comoro yaani jamhuri ya TANZACOM
Hata huelewi Kagame ali-solve vipi lile tatizo..Kagame yule aliefunga mpaka wake na Uganda hadi tz ilipoenda kusuluhisha ndio akafungua?
Kumbe wewe jinga ee?
Maendeleo yepi unayoyasema hayana vyama? Ya kilwa umeyasikia??Huo ndio ukweli kwamba maambukizi ya Corona yanazidi kuongezeka nchini Kenya na juzi waliweka rekodi ya kupata wagonjwa wa Covid 19 zaidi ya 900 kwa siku moja.
Hivyo kitendo cha Kenya kutofungua anga lake kwa ajili ya Tanzania inalenga zaidi kuwalinda watanzania dhidi ya maambukizi kwa sababu Tanzania Corona imetokomezwa.
Kadhalika serikali ya Tanzania imezuia ndege za Kenya kutua nchini kwa sababu hizo hizo za kuwalinda wananchi wasio na hatia.
Siyo kila kitu ni siasa bali vitu vingine hufanywa kwa misingi ya kibinaadamu.
Tanzania na Kenya siyo majirani tu bali ni ndugu.
Maendeleo hayana vyama
Naona hauna habari ama ni kutoweza kusomaPesa ipi unayoizungumzia wakati kila siku KQ inatangaza imepata hasara?
Kelele nyingi ndio,hoja ingekua sifuri usingejibu hiyo post!
Tena usinge-pay any attention to begin with!
hahahaha
Haafu watu nyie ndio hatuwatak mchangie hata kitu.........maana wenyewe wanasema usije wee unataka kubembeleza kwani wana figo yako hao......kira mtu na ashinde mechi zake.Utawala wa awamu hii kwenye diplomasia na majirani kwa kweli lazima tulie
So the revenue grows, and the cost grows hence making loss?Naona hauna habari ama ni kutoweza kusoma
i) August 2019 KQ revenues shot up 41% to kes 114 billion,
ii) 29 May 2020 revenues shot up 12% to kes 128 billion driven by cargo.
This means while it makes losses, revenues are growing every year.
Kenya Airways revenue jumps 12% | News | TAL Aviation
Kenya Airways revenues up 41% to KShs114 bln, boosted by growth in passenger revenue, cargo and ancillary services - AfricanFinancials