Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Ni sawa hawatuamini wanafata nini kwetu? Kila mtu akae kwake na vyake nonsense
 
Bro, Ethiopia na the rest ot EA combined bado JKIA anatuacha mbali

Unafananisha Nairobi na uchafu wa Addis aisee? Kua serious wewe
Unapaswa unapotoa hoja zako uweke na data sio kutumia hisia, JKIA inauzidi Bole Airport katika nini?

1) Capacity, Bole ni karibu mara 2 ya JKIA
2) Bole inaongoza kwa mashirika mengi ya ndege yanapita hapo ukilinganisha na JKIA
Kama unapinga weka data wacha maneno matupu
 
sasa mnashangilia ninin yaani.EAC hiyo inavunjika.
Haitakuwa mara ya kwanza EAC kuvunjika, na tukitaka tunaweza kufunga mipaka mazima. Tuliwahi kufunga mpaka miaka saba!
 
Kama iko hivi Basi ni maamuzi sahihi kwa pande zote mbili.
 
Tanzania haina ndege hata moja inayotua JKIA ukiacha Precision Air, Kenya ndio watakaopata hasara kwa kukosa 3 kutua katika viwanja 3 vya kimataifa, eleza ni vipi Tanzania itapata hasara kufuatia hili katazo la Kenya?
Aki unajidanganya. 10% ya mapato ya KQ inatoka Kenya ie NBI-Mombasa, NBI-Kisumu, NBI-eldoret. KQ inapiga route zaidi ya 45 sasa afrika nzima ukitoa Kenya ambayo ni 48% ya mapato ya KQ, hiyo ingine ni middle east, asia, north america, britain na europe. Haya hebu eleza jinsi KQ itapoteza kwa kukatazawa kuingia Tanzania?

soma taarifa za KQ hizi hapa ya 2018 na 2019.
https://corporate.kenya-airways.com/investors-and-shareholders/annual-reports/en/
 
Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
Hahaaaa Jiwe ni mtata wa kuzaliwa,akili yangu ilikataa kwamba ndege imepata hitilafu monduli halafu irudi Kenya wakati Arusha na KIA ni dakika tu.
Kwa hilo nampa kongole JPM,mabeberu uchwara ni jino kwa jino
 
mkuu haka ka kenyata kamekula hela za mkopo za covid19, ndio maana mpaka leo kanatoa data!

Sisi hatueleweki ktk data za covid19 mabeberu hawatuelewi kabisa tumepitaje pitaje!

Kajamaa bado kanatumiwa haka,sie tunakubari wawekazaji wakubwa hapa niwakenya,lkn huyu dogo bado ana kiburi anang'ata na kupuliza.

Wacha akaziwe tu, anatutingisha tu.
 
Covid jamani imeleta utengano. Huu umoja wa nyakati za furaha tu haufai
Sasa tunajua kwenye shida naona kila nchi kivyake. Igeni basi Umoja wa Ulaya.
Ulaya yenyewe Muingereza kasepa
 
Tumerudi kule kule kwa USA na CHINA kazi ipo na msababishi ni yuleyule CORONA

Mkuu, masuala ya CORONA ni secondary - kumbuka kisanga cha Kenya kudai kwamba ma truck drivers wote kutoka Tanzania wapepimwa na kukutwa wana maambukizi ya COVID-19- lengo kuu la madai hayo ni kutaka kutuharibia biashara za utalii - media zao bado zinaendelea na kampeini zao za uzushi mkubwa kwa kudai kwamba raia wengi Tanzania wana maabukizi ya corona na Hospitali zimejaa wagonjwa wengi - juzi hapa tulisikia vijembe vya Kenyatta kuhusu Tanzania inavyo shindwa ku-contain Corona, kasahau kabisa kwamba Taifa lake maabukizi yanaogezeka exponetially kadri siku zinavyo kwenda, hawajui hata wafanye nini!
 
Tena hatutaki watalii waingie Kilimanjaro kupitia Kenya waje kia au dar tutawapeleka wenyewe. Ethopia airline iwalete tu.
 
The most lucrative route in EA ya KQ ni Tanzania ikifuatiwa na Uganda, kumbuka Tanzania KQ inakuja ktk 3airports, wakati Uganda ni Entebe pekee.
Duuh aisee.......ngoja tuone hii jino kwa jino
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka....
Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuri, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo Kwa Wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
Kenya ina matatizo makubwa.
 
Huwa wanasema "Chuma hunoa chuma".
Na dawa ya moto ni moto.

Mbona walikuwa marafiki ugomvi huu umenza lini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…