Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Ni sawa hawatuamini wanafata nini kwetu? Kila mtu akae kwake na vyake nonsenseFaida ya eac ni kunufaisha biashara kati ya nchi hizi za eac. Lakini Tanzania haipendi kufata masharti ya EAC, ndiyo inaleta migogoro kila wakati. Covid 19 EAC strategy Tanzania hamukutaka kumsikiza Kagame kwanza hilo Jiwe lenyu lilijificha chato ili litoroke kuchukua simu ya Kagame.
sasa munateta Kenya iki sema haito amini takwimu za Tanzania kuhusu covid19 kwa sababu mulikataa kuungana na wengine kwa eac kuweka mikakati ya kupigana na huu ugonjwa.
Kwa sasa hata Kagame aliyekuwa shabiki wenu, hawaamini.