Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Of course kama Watanzania haturuhusiwi kwenda kwao sasa hizo ndege huku zije kumhudumia nani? Wakae nazo na sisi tunazo zetu pia.
 
Kweli mkuuu...!!
 
Yaani Jirani yako amkataze mtoto wako kwenda kucheza na mtoto wake halafu wewe umruhusu mtoto wake kuja kucheza na mwanao!

Hiyo ni itakuwa ni akili au matope?
 
kenya walistahili hata kutandikwa viboko hawajielewi .
sasa tumefunga jaribuni kuvuka muone kilichomkuta idd amin mpaka akaitwa"dada"
 
24 July 2020

Tanzania Tourism Board - Tanzania is now safe and ready to receive tourists from all over the world (July 2020)

 
We ndo kichwa panzi ten times.
Tungekuwa tunaongozwa na vichwa panzi kama unavyodai si ajabu tungeshakuwa kama libya.

Nahisi utakuwa unafikiri kwa kutumia kalio.

Dah!
Yaani mpaka usingizi umekata kwa ujinga ulioandika, we ni bure kabisa.
 
Hv , bangi zinapokuja wapi wakati wenyewe hawatutaki?
Wenyewe wamelianzisha alafu tukumaliza wanalia kimama, ipo hv wanatuitaji zaid ya tunavyo waitaji wao
 
Wakenya wanalia lia, kwanza ndo wamemaliza idadi yaajira nchini so wakizingua itakuwa fresh dada na kaka zetu wapate ajira.
JPM hajaribiwi zama zimebadilika
 
African dudes try to be smart here.

The main target here is Tanzania, the long time goal is to make her the next DRC. The authority should play smart here, the kenyan are just the puppet like Ruandees that time. 900K Km2 with lakes and sea + so many resources its enough to give the heaven for someone somewhere else.
 
Kenya bhna, ndo hatutaki na uchumi unapaa
Kwani kipind cha corona tulishake wapi
 
#Habari:Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa nchi ipo salama katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona na hakuna mgonjwa hata mmoja wa ugonjwa huo katika hospitali zote hapa nchini na habari zinazoenezwa juu ya uwepo wa ugonjwa huo ni za kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…